Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisahalafu zitaanza stori za majini
Mashindano hayanga mwenyewe ndo mana yakaitwa mashindano
๐คฃ๐๐๐Umekazana Alhly ili usijipe presha ee?? Haha kwani usiseme Petro de luanda? Kisa Alhly ni timu pinzani kwetu..utajua hujui ๐ ๐
Ila umenichekesha sana...yy ndo ana king'amuzi ..basi sawa i think utaenjoy
Muda wa malipo umefika uto mmesumbua sanaWasijesema Mamelodi mbovu๐
Kiasi Gani natamani Simba timu yangu itoboe hii hatua. Hawa Utopolo wametutia sana unyonge Aisee! Japo tupate hata cha kujipongeza.Nashangaa sana kuwaogopa hao mamelodi,, hii hatua kuna kigogo au vigogo wataaga mashindano,, alafu kuna ambaye humzanii anatoboa,,
Unafikiri hii ni Afcon๐คฃ๐คฃNashangaa sana kuwaogopa hao mamelodi,, hii hatua kuna kigogo au vigogo wataaga mashindano,, alafu kuna ambaye humzanii anatoboa,,
Kaka hii Hawa mamelodi ntawapiga kama ngoma hawaMuda wa malipo umefika uto mmesumbua sanaView attachment 2932762
hapa tunapita hawatoamini macho yao isiwe kama timu zetu hazina wakubwa!Kabisa mtani..tunaweza tukiamua..mbona ilionekana tunachechemea makundi ila tukapita na humu tutapita..
Ameenhapa tunapita hawatoamini macho yao isiwe kama timu zetu hazina wakubwa!
Kazi kwetu...hapa tunapita hawatoamini macho yao isiwe kama timu zetu hazina wakubwa!
Njia nyeupe kwa Simba na Uto kukutana fainali ... kila mmoja ashinde mechi zake tu.TotalEnergies CAF Champions League Quarter-Finals Draw Outcome:
First Leg: 29 โ 30 March 2024
QF 1 | Simba FC (TAN) vs Al Ahly SC (EGY)
QF 2 | TP Mazembe (DRC) vs Atletico de Petroleos (ANG)
QF 3 | Esperance Sportive de Tunis (TUN) vs Asec Mimosas (CIV)
QF 4 | Young Africans (TAN) vs Mamelodi Sundowns (RSA)
Second Leg: 05 โ 06 April 2024
QF 1 | Al Ahly SC (EGY) vs Simba FC (TAN)
QF 2 | Atletico de Petroleos (ANG) vs TP Mazembe (DRC)
QF 3 | vs Asec Mimosas (CIV) vs Esperance Sportive de Tunis (TUN)
QF 4 | Mamelodi Sundowns (RSA) vs Young Africans (TAN)
Semi-Finals Draw Outcome:
SF 1: QF 3 Winner vs QF 4 Winner
SF 2: QF 2 Winner vs QF 1 Winner
cc: Mahondaw ulikuwa ukiulizia tarehe
Baada ya kuifunga Buoulzdad ukajua kila timu unaweza kuifunga๐๐๐๐Uzuri wa sisi Yanga tunajiweza yeyote tunamkalisha
Hata wakituletea Man City๐คธโโ๏ธ๐๐๐
Yanga kwa mchezaji mmoja mmoja ni wazuri kuliko mamelodiNashangaa sana kuwaogopa hao mamelodi,, hii hatua kuna kigogo au vigogo wataaga mashindano,, alafu kuna ambaye humzanii anatoboa,,
Hii hatua bahati nayo inachangia,Kiasi Gani natamani Simba timu yangu itoboe hii hatua. Hawa Utopolo wametutia sana unyonge Aisee! Japo tupate hata cha kujipongeza.