Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

... πŸ—£οΈ π˜Όπ™†π™„π˜½π˜Ό π™”π˜Ό π™ˆπ˜Όπ™‰π™€π™‰π™Š

Tuweke akiba ya maneno ✍️

"Yanga habari yao imeishia hapo, Unashindwa kumfunga Mwarabu nyumbani kwako, timu kubwa Tunisia Club Africain πŸ‡ΉπŸ‡³ utegemee kushinda kwake, wanaenda kutalii"

Full β€” πŸ‡ΉπŸ‡³ Club Africain 0 - 1 Yanga
______________________________

"Mamaa hahahaa wamepangwa na TP Mazembe na Mwarabu (US Monastir), wakivuka hili kundi mnikate mkono"

Full β€” Yanga 3 - 1 Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©
Full β€” πŸ‡¨πŸ‡© Mazembe 0 - 1 Yanga
Full β€” Yanga 2 - 0 US Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³

1. Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β˜‘οΈ
2. US Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³ β˜‘οΈ
3. Stade Malien πŸ‡²πŸ‡±
4. TP Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©

πŸŽ–οΈ Final (CAF-CC).
_________________________________

"Mwaka huu ukitolewa kwa wakubwa huangukii kombe la LUZA, karibuni kwenye mashindano ya wakubwa. Hahaha wamepangwa na Al-Ahly, na CR Belouizdad πŸ‡©πŸ‡Ώ bingwa mara 4 mfululizo wa Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ, kuingia robo fainali kwa hao waarabu ni jambo la kawaida.. Yanga atamaliza wa mwisho kwenye kundi"

"Akikutana na Al-Ahly atapigwa (5-0)"

Group stage final ;

1. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al-Ahly Cairo β˜‘οΈ
2. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Young Africans SC β˜‘οΈ
3. πŸ‡©πŸ‡Ώ CR Belouizdad
4. πŸ‡¬πŸ‡­ Medeama
_______________________________

"Yanga kapigwa (3-0) na CR Belouizdad waje wapindue meza hapa kwa bao (4-0) hahaha wanaota ndoto mchana, Yanga akienda robo fainali CAF-CL NIBAKWE na Serikali isiingilie"

Full β€” Yanga 4 - 0 CR Belouizdad πŸ‡©πŸ‡Ώ
____________________________

"Kwisha habari yao, Hahaha wamepamgwa na Mamelodi Sundowns πŸ‡ΏπŸ‡¦, Yanga anaenda kupigwa nyumbani na ugenini, Wameshatoka. Yanga akimtoa Mamelodi nyumba yangu ichomwe moto"

Full β€” Yanga ? - ? Mamelodi πŸ‡ΏπŸ‡¦ ...
 
Acha kuwadanganya wenzako waliwe, wewe mwenyewe hapo usikute utaibetia mamelodi, unataka umpige mhindi peke yako

Cc Scars [emoji1787]

CONFEDERATION CUP DRAW

TotalEnergies CAF Confederation Cup Quarter-Final Draw Outcome:

29 – 31 March 2024:

QF 1 | Modern Future (EGY) vs Zamalek (EGY)
QF 2 | Abu Salem (LBY) vs RS Berkane (MAR)
QF 3 | Rivers United (NGR) vs USM Alger (ALG)
QF 4 | Stade Malien (MLI) vs Dreams FC (GHA)

05 – 07 April 2024:
QF 1 | Zamalek (EGY) vs Modern Future (EGY)
QF 2 | RS Berkane (MAR) vs Abu Salem (LBY)
QF 3 | USM Alger (ALG) vs Rivers United (NGR)
QF 4 | Dreams FC (GHA) vs Stade Malien (MLI)

Semi-Final Draw Outcome:

QF 3 Winner vs QF 2 Winner
QF 1 Winner vs QF 4 Winner
Semi-Finals Dates to be communicated in due course.
 
Ni kweli jamaa wamechukia hamuwezi mkazifunga timu za cuf goli kumi bongo. Simba ashinde 6 Yanga ashinde 4 hiyo ni dharau kubwa
 
Unafaa kuwa mke hata siku ukimfuma mumeo you will take simple
 
Ila msisahau kuwa Motsepe ni mfanyabiashara kampuni za betting zinaweza kumuwekeq dau mezani ikawa hbar nyingine hpa mpira nowdays umeharibiwa na kamari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…