Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Itapendeza sana timu zote za Tanzania zikitinga nusu fainali,ila sitashangaa zote zikitolewa kwenye hii hatua ya robo fainali.

Hapo wachawi wawili tu ahyl na mamelodi haswa haswa huyu mamelodi ndo ana uchu kwelikweli.
 
Hamtaki kufika nusu fainali? Si ndio mnasemaga mnamuweza huyo basi kutana nae ili iwe daraja lako la kufika nusu fainali.
 
Mimi yanga namtaka yoyote ambaye ni bingwa .

Ili uwe bingwa wa ligi ya mabingwa lazima ucheze na mabingwa wenzako.

Sitaki nikutane na mshindi wa pili sijui wa tatu ambaye ligi ya mabingwa kaingia kwa kanuni ila yeye sio bingwa
Aiseee
 
Kwa
Yanga wakabidhiwe Mamelod ili wapakatwe chap chap wapunguze mdomo....
 
Tupangiwe na masandawana tupate kujipima, al ahly kama ulivyosema hapo juu mkuu
 
Mtoa mada naomba utoe jibu je Azam tv wataonesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…