Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Hapana.Ana maanisha wa pili ktk kila kundi ataanzia nyumbani.Therefore,SSC na YASC wote wanaanzia kwa Mkapa.
Pia hii ni favor kwa aliyeongoza kundi. Anakuja kwako analazimisha sare au unamfunga ushindi mwembamba ukienda kwake (second leg) anakupiga. Karata zichangwe nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…