Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

1710250129403.png
 
Duh 🤣😂😁😁😁 naona timu zetu za bongo maji tutaenda kuita mma 🤣😁 ila tukijipanga fresh tutatoboa
 
Oo tunamtaka tunamtaka haya huyo hapo, sasa hivi naona kiswahili kimebadilika mara al ahly tayari wamezoeleka aloo msitafute visingizio, huyo al ahly ndio mwenye makombe mengi ya cafcl kuliko club yoyote africa kwahiyo siyo wepesi
 
Tulia matches zichezwe halafu mje hapa kutubu
 
Hapa ninachosubiri ni uchambuzi kutoka kwa wachambuzi wetu wa JF basi.

Muda sio mrefu kuanzia hivi sasa yataanza mafuriko ya threads kila mmoja akivutia upande wake na kuchambua mechi ya mpinzani wake.
Hiyo ndiyo raha ya JF.
 
Hayawi hayawi mwisho yamekua....

Baada ya timu mbili za Tanzania kufika Robo fainali ya CAF champions League Kwa pamoja, Leo tarehe 12 march 2024 imepangwa draw ya hatua ya robo fainali na mabingwa wa Tanzania Yanga wamepewa wababe toka pande za kusini mwa africa Mamelodi sundown... Huku wekundu wa Msimbazi wakipewa Bingwa mtetezi Al ahly.... Je timuz zetu hizi za Tanzania zina nafasi ya kusonga mbele kwenda Nusu fainali?

Kwa mtazamo wangu Game ya Simba na Al ahly Kwa mkapa Simba ana matumaini ya kushinda au kutoa Sare maana amekua akimbana mbavu Sana Al ahly.. lakini kashehe litakua Kule Cairo...
Wachambuzi wetu wa hovyo hua wanajidanganya watanzania eti Al ahly ipo Unga [emoji28] lakini wamesahau ndo bingwa mtetezi na ametoka kushiriki michuano mikubwa ya FIFA world cup Kwa level ya club so sio timu ya kawaida kama mnavodanganywa....
Karata yangu naiweka Kati 50/50. Simba atakua na nafasi ya kufuzu endapo atashinda Kwa mkapa walau Bao mbili bila..

Kwa upande wa game ya Yanga na Mamelodi bado nafasi ipo Mamelodi sundown kutokana na ubora wao moja Kwa moja japo na yeye kwenye upande wa mabeki sio mzuri Sana... Yanga pia Anatakiwa apambane zaidi game ya nyumbani walau ashinde Kwa Bao mbili bila.... Inawezekana kabisa....
Karata yangu pia naiweka 50/50.....

We Una maoni gani?
 
Yanga vs Mamelod (Majini ya Njano tupu!)
Simba vs Ahly ( Mashetani wekundu tupu!)

Hapa kila mtu kapewa swahiba wake, safari ya timu zetu zote imefikia tamati. Tujipange tena msimu ujao.

Tujivunie kufika Robo fainali na tumevuna points nyingi za viwango vya CAF tunashukuru
" Sasahivi timu zetu zote zimefikia tamati"

Mwisho wa kunukuu 🤠😂

Cc Smart911
 
Hii ndo habar mpya kabs, vilio vimeanza kusikika baada ya draw ya Caf CL[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hayawi hayawi mwisho yamekua....

Baada ya timu mbili za Tanzania kufika Robo fainali ya CAF champions League Kwa pamoja, Leo tarehe 12 march 2024 imepangwa draw ya hatua ya robo fainali na mabingwa wa Tanzania Yanga wamepewa wababe toka pande za kusini mwa africa Mamelodi sundown... Huku wekundu wa Msimbazi wakipewa Bingwa mtetezi Al ahly.... Je timuz zetu hizi za Tanzania zina nafasi ya kusonga mbele kwenda Nusu fainali?

Kwa mtazamo wangu Game ya Simba na Al ahly Kwa mkapa Simba ana matumaini ya kushinda au kutoa Sare maana amekua akimbana mbavu Sana Al ahly.. lakini kashehe litakua Kule Cairo...
Wachambuzi wetu wa hovyo hua wanajidanganya watanzania eti Al ahly ipo Unga [emoji28] lakini wamesahau ndo bingwa mtetezi na ametoka kushiriki michuano mikubwa ya FIFA world cup Kwa level ya club so sio timu ya kawaida kama mnavodanganywa....
Karata yangu naiweka Kati 50/50. Simba atakua na nafasi ya kufuzu endapo atashinda Kwa mkapa walau Bao mbili bila..

Kwa upande wa game ya Yanga na Mamelodi bado nafasi ipo Mamelodi sundown kutokana na ubora wao moja Kwa moja japo na yeye kwenye upande wa mabeki sio mzuri Sana... Yanga pia Anatakiwa apambane zaidi game ya nyumbani walau ashinde Kwa Bao mbili bila.... Inawezekana kabisa....
Karata yangu pia naiweka 50/50.....

We Una maoni gani?
Atakaetumia hizi fursa hapa vizuri 👇👇

View: https://twitter.com/yose_hoza/status/1767543713998221718?t=_vgS3DYyBGvOWqv7v2fVog&s=19
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom