Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Maombi yenu ziraili kayasikia na kuyajibu.Sisi Kma Yanga tunamuomba Mamelody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maombi yenu ziraili kayasikia na kuyajibu.Sisi Kma Yanga tunamuomba Mamelody
🤣🤣🤣🤣🤣Embu nifafanulie mkuu.Fact moja inayofanya watu wengi waiogope Mamelody ni lile swala la kufunga magoli hadi kwa mipira ya off target
Alisikika mlevi mmoja🤣🤣🐸 Wapo vizuri wanaweza kumshikisha adabu Mamelodi 😂😂😂
Yanga kuna vipaji wwAnacheza na kipa bora wa michuano ya Afcon .. Huyo Diarra ni nani mbele ya Ronwel William?
Tujitokeze taifa kwa wingi sana, maana tunaweza aga mashindano kwa muda mmoja pia, ila hapo hawatoamini al ahly safari hiiTeam zetu kama zimetoka
Tulia matches zichezwe halafu mje hapa kutubuOo tunamtaka tunamtaka haya huyo hapo, sasa hivi naona kiswahili kimebadilika mara al ahly tayari wamezoeleka aloo msitafute visingizio, huyo al ahly ndio mwenye makombe mengi ya cafcl kuliko club yoyote africa kwahiyo siyo wepesi
Alisikika akinena mama mmoja wa huko Yombo Dovya baada ya kupata kilevi. Na kusahau kumpikia mumeweAlisikika mlevi mmoja🤣🤣
Bora..Hata tukitoka inakua kwel tunatoka kihalali 😂😂Yanga na mamelodiiiiii 🥰🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂..
Usiyempenda kaja.
Acha majinga hv Yanga ni ya kuaga michuano hii. Umelewa wwTujitokeze taifa kwa wingi sana, maana tunaweza aga mashindano kwa muda mmoja pia, ila hapo hawatoamini al ahly safari hii
" Sasahivi timu zetu zote zimefikia tamati"Yanga vs Mamelod (Majini ya Njano tupu!)
Simba vs Ahly ( Mashetani wekundu tupu!)
Hapa kila mtu kapewa swahiba wake, safari ya timu zetu zote imefikia tamati. Tujipange tena msimu ujao.
Tujivunie kufika Robo fainali na tumevuna points nyingi za viwango vya CAF tunashukuru
Kitawaka haswaAombae hupewa. Dushelele lenye mishapa hilo uto wacheza nalo
Atakaetumia hizi fursa hapa vizuri 👇👇Hayawi hayawi mwisho yamekua....
Baada ya timu mbili za Tanzania kufika Robo fainali ya CAF champions League Kwa pamoja, Leo tarehe 12 march 2024 imepangwa draw ya hatua ya robo fainali na mabingwa wa Tanzania Yanga wamepewa wababe toka pande za kusini mwa africa Mamelodi sundown... Huku wekundu wa Msimbazi wakipewa Bingwa mtetezi Al ahly.... Je timuz zetu hizi za Tanzania zina nafasi ya kusonga mbele kwenda Nusu fainali?
Kwa mtazamo wangu Game ya Simba na Al ahly Kwa mkapa Simba ana matumaini ya kushinda au kutoa Sare maana amekua akimbana mbavu Sana Al ahly.. lakini kashehe litakua Kule Cairo...
Wachambuzi wetu wa hovyo hua wanajidanganya watanzania eti Al ahly ipo Unga [emoji28] lakini wamesahau ndo bingwa mtetezi na ametoka kushiriki michuano mikubwa ya FIFA world cup Kwa level ya club so sio timu ya kawaida kama mnavodanganywa....
Karata yangu naiweka Kati 50/50. Simba atakua na nafasi ya kufuzu endapo atashinda Kwa mkapa walau Bao mbili bila..
Kwa upande wa game ya Yanga na Mamelodi bado nafasi ipo Mamelodi sundown kutokana na ubora wao moja Kwa moja japo na yeye kwenye upande wa mabeki sio mzuri Sana... Yanga pia Anatakiwa apambane zaidi game ya nyumbani walau ashinde Kwa Bao mbili bila.... Inawezekana kabisa....
Karata yangu pia naiweka 50/50.....
We Una maoni gani?