Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

(kishabiki) nimegundua CAF hawajapenda tulivyoingiza timu 2 robo fainali! Wanatuhujumu wazi wazi!

Kisoka & biashara : wamepanga safi kabisa mana hizo timu 4 zitakua ni mechi zenye mvuto namashabiki wengi sana! Ni kama derby ya mabingwa!
kisoka tumekua mpaka tunaonekana tunawezana nao hao majamaa
nusu fainali ipo kamati ya majini tunaiaminia au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Hamna timu yoyote ya Tanzania itakayo enda nusu.
Inawezakana kupita. Simba si mara ya kwanza kupangiwa Al hly wana uzoefu na kukutana nao, wakikaza kwa mkapa nafasi ipo.

Yanga kwa mkapa nao wapo aggressive na wana suprice zisizotegemewa kutokana na form yao, wanaweza kuforce ukashangaa imekuaje .

Lolote linawezekana kutokea japo % ya kutolewa kama usemavyo ipo juu. Tusubiri tuone.
 
Tulia matches zichezwe halafu mje hapa kutubu
Nafikiri ungewaambia hao uto wenzio walioanza kutafuta visingizio eti ahly wepesi kuliko sundowns, kila mtu ashinde mechi zake hapa hakuna wa kumcheka mwenzie maana wapinzani wote wagumu, msianze kutafuta sababu ili yakitokea ya kutokea mseme wenu walikuwa wagumu wetu walikuwa wepesi
 
Inawezakana kupita. Simba si mara ya kwanza kupangiwa Al hly wana uzoefu na kukutana nao, wakikaza kwa mkapa nafasi ipo.

Yanga kwa mkapa nao wapo aggressive na wana suprice zisizotegemewa kutokana na form yao, wanaweza kuforce ukashangaa imekuaje .

Lolote linawezekana kutokea japo % ya kutolewa kama usemavyo ipo juu. Tusubiri tuone.
Umeongea vzuri sana,,
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Ukiona namna mashabiki wa simba wanavofurahia yanga kupangwa na mamelody ndo unajua kua ni kiasi gani wao wenyewe wanaiogopa yanga
Mpaka umepost hivi maana yake wewe ni 🐸 uliyepanic baada ya kusikia mpinzani ni Mamelodi.
 
Back
Top Bottom