Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Kaizer chiefs siyo timu mbovu hasa ukizingatia wanacheza kwa speed sana.
Wale keizer siyo wa kubeza pasi zinafika kwa usahihi ukitaka kujua uzuri wao angalia mechi yao na sundown juzjuzKaizer chiefs siyo timu mbovu hasa ukizingatia wanacheza kwa speed sana.
Hii comment imenikosha sana,niuzie mkuu.Mamelod anatolewa na Al Ahly hafiki fainali.
Kombe linabaki Tanzania tena fainali inachezwa kwa Mkapa. Kuna rekord inawekwa mwaka huu
TehNaomba sana tusikutane na kaizer chief
Sio kila unachokifikiri kiwe sawa na wengine
Wapi wamesema hii?Kana Ikitokea Simba Sc akacheza fainali, basi uwanja wa Mkapa hauwezi kutumika.
Kizer chiefs kuwapiga Sundowns, haiwezi kutumika moja kwa moja kama ishara ya uimara wao. Kumbuka hata Ruvu shooting waliifunga Simba Sc lakini hawawezi kuwa bora kama simba.
Hivi fainali ya caf huwa ni mechi moja kama uefa au ni mechi mbili? Mwenye jibu la uhakika tafadhali atujuze.
Simba inaingia nusu fainali. Trust me..Wanasema tuna mdomo sana wanataka kutuonesha wao kina nani
Wa kawaida sana ndio maana msimamo wao wa ligi unaonyesha walipo...hamna cha basi wala billiat...Wale keizer siyo wa kubeza pasi zinafika kwa usahihi ukitaka kujua uzuri wao angalia mechi yao na sundown juzjuz
Nireteeni gwajima!!!! π¬π¬π¬ Usiyemtaka kaja!!Naomba sana tusikutane na kaizer chief
Soka sio simple kiasi hicho ndugu.. Tuombe tu game iwe upande wetuKaizer hao hao wa 9 kwenye msimamo wa ligi? Ni haohao waliofunga magoli 24 kwenye mechi 25 na kufungwa magoli 28?
Ni hao hao waliocheza mechi 9 za Mabingwa na kufunga magoli 5 tu huku wakifungwa 4?
Yaani hawa watakuwa futari.
Bayern si alishaondolewa UEFA CLCAF wanatarajia kuuchagua uwanja wa Mkapa kwa ajili ya fainali. Hivyo kwa uwanja huo Simba hajawahi kufungwa na mwarabu, hivyo tayari Bingwa anajulikana.
Mnyama ajiandae tu kucheza na Bayern club bingwa ya Dunia.
Tawile baba.Simba nusu fainali vs Wydad
Simba fainali vs Esperance
Esperance bingwa
Naona unajaribu kunga'ata na kupuliza, ila wajanja tumeshajua kuwa wewe ni Uto[emoji2957].
Wale waarabu ilikuwa tunapita rahis sana
CAF wanatarajia kuuchagua uwanja wa Mkapa kwa ajili ya fainali. Hivyo kwa uwanja huo Simba hajawahi kufungwa na mwarabu, hivyo tayari Bingwa anajulikana.
Mnyama ajiandae tu kucheza na Bayern club bingwa ya Dunia.
Naomba nikuhifadhie huu utabiri wako for future use!Simba nusu fainali vs Wydad
Simba fainali vs Esperance
Esperance bingwa