Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Kizer chiefs kuwapiga Sundowns, haiwezi kutumika moja kwa moja kama ishara ya uimara wao. Kumbuka hata Ruvu shooting waliifunga Simba Sc lakini hawawezi kuwa bora kama simba.

Ni Kweli hilo haliwezi kutumika kama kigezo cha uimara wao,lakini vile vile si vibaya kama likitumika kama ANGALIZO kwa upande wa Simba katika maandalizi yao dhidi ya Chiefs !!
 
Ni mechi moja tu mara ya mwisho kua match mbili ilikua kati ya Wydad na Esperance 1st league Esperance alibebwa sana kiasi kwamba Wydad alishindwa kuvumilia hakumaliza mechi na kutoka uwanjani.

CAF wakampa ubingwa Esperance na Fainali ikaanza kua moja nakumbuka ni kama miaka minne kutokea hili tukio
Hivi fainali ya caf huwa ni mechi moja kama uefa au ni mechi mbili? Mwenye jibu la uhakika tafadhali atujuze.
 
Kaizer hao hao wa 9 kwenye msimamo wa ligi? Ni haohao waliofunga magoli 24 kwenye mechi 25 na kufungwa magoli 28?
Ni hao hao waliocheza mechi 9 za Mabingwa na kufunga magoli 5 tu huku wakifungwa 4?
Yaani hawa watakuwa futari.
Soka sio simple kiasi hicho ndugu.. Tuombe tu game iwe upande wetu
 
CAF wanatarajia kuuchagua uwanja wa Mkapa kwa ajili ya fainali. Hivyo kwa uwanja huo Simba hajawahi kufungwa na mwarabu, hivyo tayari Bingwa anajulikana.

Mnyama ajiandae tu kucheza na Bayern club bingwa ya Dunia.
Bayern si alishaondolewa UEFA CL
 
CAF wanatarajia kuuchagua uwanja wa Mkapa kwa ajili ya fainali. Hivyo kwa uwanja huo Simba hajawahi kufungwa na mwarabu, hivyo tayari Bingwa anajulikana.

Mnyama ajiandae tu kucheza na Bayern club bingwa ya Dunia.

Uzuri waarabu huwa hawatumii nguvu.. ..ngoja uone Quarter to semi finals ndio utawajua waarabu akina nani baba 😀

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Back
Top Bottom