Tarehe ngapi?-Al Ahly SC vs Mamelod Sundowns
-Mc Alger vs Waydad Casablanca
-CR Belouizdad vs Esparance
-Kaizer Chiefs vs Simba SC
Game ya kufa na kupona ni ya Mamelodi na Ahly, hizi nyingine zinatabilika
Acha uchawi!1. Mamelod
2. Wydad
3. Esparance
4. Simba
Finalist
1. Mamelod
2. Esparance
Champion
.......Mamelod
Game za kwanza tar 14- 15May na marudiano Tar 21 -22 MayTarehe ngapi?
Mbona hata wao wana mdomo sana tu[emoji23].Kwenye hii hatua Simba atasonga mbele.Wanasema tuna mdomo sana wanataka kutuonesha wao kina nani
Hapana, imechezeshwa draw ya Semi finals, tukipita tutakutana na mshindi kati ya MC Alger vs Wydad CasablancaAlafu tukipita tunakutana na mshindi kati ya
Al alhy vs mamelod
Naomba sana awe ni Al ahly.Alafu tukipita tunakutana na mshindi kati ya
Al alhy vs mamelod
Kwani wewe huoni mkuu speed ya 5g ya watoa threads....??Kwanin mkuu
Nmecheka sana
Kaizer chiefs siyo timu mbovu hasa ukizingatia wanacheza kwa speed sana.View attachment 1769226
Kaiza alipita kwa kuunga unga
View attachment 1769230
Baada ya kumtoa Kaiza tunakutana na kina Simon Msuva
View attachment 1769234
Hiyo si kweli, tukipita tutakutana na mshindi wa mechi ya MC Alger vs Wydad CasablancaWadau hii nikweli au nichai ya moto
Kushika nafasi ya pili ni dhahiri, haikupangwa timu yoyote na timu iliyoshika nafasi kama ile ya mpinzani wakeHata Hawa Keizer Sio Wazuri Sana, Maana Walishika Nafasi Ya 2 Kwenye Kundi Lao Nyuma Ya Akina Msuva.
Mapigo ya moyo mara yanaenda mara yanarudi,mara yanakatakona ghafia mara yanasimama.Kumbe muoga sana