Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

-Al Ahly SC vs Mamelod Sundowns
-Mc Alger vs Waydad Casablanca
-CR Belouizdad vs Esparance
-Kaizer Chiefs vs Simba SC

Game ya kufa na kupona ni ya Mamelodi na Ahly, hizi nyingine zinatabilika
Tarehe ngapi?
 
Kila la heri Mc Alger na Simba Sc
Screenshot_2021-04-30-16-21-58.jpeg
 
Alafu tukipita tunakutana na mshindi kati ya
Al alhy vs mamelod
Hapana, imechezeshwa draw ya Semi finals, tukipita tutakutana na mshindi kati ya MC Alger vs Wydad Casablanca
 
Sawa mwalimu
Jamaa ungetulia tu ungeandika vizuri. Kwanza jina la team ya pili hujalitendea haki kwa kuanza na herufi ndogo na pia kulikosea jina lenyewe.

Ulipaswa kuandika 'Kaizer Chiefs' na sio kaizer chief.
 
Hata Hawa Keizer Sio Wazuri Sana, Maana Walishika Nafasi Ya 2 Kwenye Kundi Lao Nyuma Ya Akina Msuva.
Kushika nafasi ya pili ni dhahiri, haikupangwa timu yoyote na timu iliyoshika nafasi kama ile ya mpinzani wake
 
Back
Top Bottom