Robo Fainali CAFCL: Simba Sc kukutana na Kaizer Chiefs

Kaizer chief mashabiki wao wameanza kushangilia maana siku zote dua yao ilikua wanataka kukutana na Simba.
Mpira ni kitu cha ajabu sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Huku fans wa simba wanashangilia kukutana na kaizer kule fans wa kaizer wanashangilia kukutana na simba[emoji3][emoji3]
 
Kule Kama billiat Huku Loui's miquissonne Moto utawaka fans wa keizer chiefs wanasema walikuwa wanatutamani Sana sisi ngoja tuone Nani atamtuliza mwenzie hapa
 


Mtaongea sana, lakini bingwa anajulikana hapo ni Wydad, Belouizdad or Al ahly.. ..mmoja kati yao.. ..sifuti hii comment


πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Mtaongea sana, lakini bingwa anajulikana hapo ni Wydad, Belouizdad or Al ahly.. ..mmoja kati yao.. ..sifuti hii comment


[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
Hujui football ww mganga wa kienyej
 
Hujui football ww mganga wa kienyej

Ulitaka nitaje timu ipi ili ufurahie!


Kila mtu na mapenzi yake kaka.. ..I am a fan of Wydad Casablanca.. ..na hapo nimelist moja kati ya timu 3 itakayotwaa ubingwa bila kubahatisha. Hii comment siifuti.. ..



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…