Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Simba kamfunga al ahaly kipind cha corona ,ligi zote zimesimama lakin lig ya Tanzania inaendelea .....Zamaleck,Ismailia,Al ahly akiwa bingwa mtetezi wote hao waalikaa kwa kutulia na wakasali sala ya toba.
Alikuwa bingwa wa Misri huyo, mwaka huo huo akapigwa 1-0 na Simba siku mbili tofauti, ya kwanza mechi ikavunjwa kwa mvua, ya pili mechi ikamalizika, magoli ya siku zote yakifungwa na Joseph Kaniki Golota.Ismailia alichukua Kombe lini??
Hata wakati Simba anaifunga Yanga 5-0 kulikuwa na corona nchi nzima, isipokuwa Msimbazi tuSimba kamfunga al ahaly kipind cha corona ,ligi zote zimesimama lakin lig ya Tanzania inaendelea .....
Al ahaly walikuwa wako lock down ....
Iyo ni uwooongooo.. uwongoo iyooo.Simba wanarekodi zuri kimataifa kuliko yanga, timu zilizoko ukanda wa africa mashariki na kati, wanazidiwa na tp mazembe tu.
Weye n'tu utakuwa MWANANCHI UCHWARA!Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Kabla ya mtu kulambishwa 7 Up wewe Horoya si ndiye ulisema Simba timu ya mtandaoni?Simba hakuna timu, watu watajipigia Hadi aibu
Tarehe 12 February 2019, wala dunia ilikuwa haijui kama kutakuja kutokee kitu kinachoitwa corona, halafu unatuambia eti Al Ahly walikuwa lock down 😁Simba kamfunga al ahaly kipind cha corona ,ligi zote zimesimama lakin lig ya Tanzania inaendelea .....
Al ahaly walikuwa wako lock down ....
Mbumbumbu huyo usihangaike naye.Matusi yanakusaidia nini wewe mpumbavu? Huwezi kuchangia hoja bila lugha chafu?
Wewe ni hayawani?
duh!,,umecomment nini sasa hiki!Simba kamfunga al ahaly kipind cha corona ,ligi zote zimesimama lakin lig ya Tanzania inaendelea .....
Al ahaly walikuwa wako lock down ....
Maake hapoo..... Kwanza nchekeKuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Waliongelewa kijiwe gani?Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Tatizo la kuzaliwa mwaka 2000.Al Ahly alifungwa pia na Simba mwaka 1985.Magoli yaliyofungwa na Zamoyoni Mogella na Mtemi Ramadhani baada ya Al Ahly kutangulia kwa goli la Mohamed Khatib.Mechi ilichezwa Kirumba Mwanza.Simba kamfunga al ahaly kipind cha corona ,ligi zote zimesimama lakin lig ya Tanzania inaendelea .....
Al ahaly walikuwa wako lock down ....
muulize uyo aliyelala hapo kwenye avatar yako😂Ismailia alichukua Kombe lini??
Ndio tabu ya kufuata mkumbo.Ismailia ndio timu ya kwanza ya Misri kuchukua ubingwa wa Afrika mwaka 1969.Ismailia alichukua Kombe lini??
Watu mnacheza Loosers League kuidharau timu inayoshiriki Champions League ni utaahira uliotukukaKuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]