Robo fainali Cafcl, Simba yagombaniwa kama mpira wa kona

Robo fainali Cafcl, Simba yagombaniwa kama mpira wa kona

Simba kamfunga al ahaly kipind cha corona ,ligi zote zimesimama lakin lig ya Tanzania inaendelea .....

Al ahaly walikuwa wako lock down ....
Nyie Utopolo kipindi hicho cha corona illifunga timu gani ya kimataifa?
 
Simba imemfunga mtu goli Saba halafu uombe ukutane nayo...Katoe kwanza huo mwiko huko nyuma wanaume waje waingize vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani unamlinganisha HOROYA na Mamelodi..!!! Wa kupimwa wewee..!!!
Mkahangaike na losers wenzenu, huku kwa mabingwa hakuwahusu si Al hilal aliwafurusha km mbwaa mwizii, hata makundi hamjanusaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utopoloooooo mmevurugwaaa vibayaaaa khaaaah
 
Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.

Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..

Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Inaeleweka kwamba mwisho wetu ni robo
 
Huo msalaba akaubebe mwenyewe, maana alijilengesha mwenyewe!
 
Ulivoskia mambo ya kuingiziwa nyuma fasta ukajileta?
Km unawashwaaa toa huo mwiko nyuma nikuingize dildo ya umeme nikufokoe vizuriii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jambo lingine ambalo inabidi afahamu ni kwamba Simba ndiyo inafanya haya mashindano yafuatiliwe kwa wingi na ikitolewa tu inapooza kuna kuwa kama vile hakuna mashindano.
 
Sasa hapo kolo kwa kusema ukweli atamfunga nani jaman, Espérance, Mamelodi au Wydad? 😁
 
Alikuwa bingwa wa Misri huyo, mwaka huo huo akapigwa 1-0 na Simba siku mbili tofauti, ya kwanza mechi ikavunjwa kwa mvua, ya pili mechi ikamalizika, magoli ya siku zote yakifungwa na Joseph Kaniki Golota.
Acha UPIMBI wewe, 2002/2003 Bingwa wa Misri alikuwa ZAMALEKI
 
Tarehe 12 February 2019, wala dunia ilikuwa haijui kama kutakuja kutokee kitu kinachoitwa corona, halafu unatuambia eti Al Ahly walikuwa lock down [emoji16]
Utawadanganya utopolo wenzio walioitwa mbwa na manyani na yule kocha mnayetakiwa kumlipa

View attachment 2559221
Yanga hajawahi kumfunga Al ALHY pale Taifa????
 
Ndio tabu ya kufuata mkumbo.Ismailia ndio timu ya kwanza ya Misri kuchukua ubingwa wa Afrika mwaka 1969.
Fuatilia mpira wacha kuwa mvimbiwa mihogo aliowasema Rais wenu Engineer feki.
Huna akili we jamaa
 
Back
Top Bottom