Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huku kwenye loser si ndo kule mliroga kule bondeni?Mkahangaike na losers wenzenu, huku kwa mabingwa hakuwahusu si Al hilal aliwafurusha km mbwaa mwizii, hata makundi hamjanusaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utopoloooooo mmevurugwaaa vibayaaaa khaaaah
Sisi tuko kwa wakubwa wenzetuu. Huko kwa losers tusha sahau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi huku kwenye loser si ndo kule mliroga kule bondeni?
Kuna mahali nimesema Ismailia ilikuwa bingwa mwaka 2002/2003?Acha UPIMBI wewe, 2002/2003 Bingwa wa Misri alikuwa ZAMALEKI
Sosi?Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Raja vipiWewe utopolo ndie msemaji wa hizo timu?
Mtu kala 7-0.
yaani umfunge mamelod nje ndani,acheni jamani khaaa!Simba is no longer an underdog team in CAF championship.
Mtashangaa hata hao magiant wakafungwa vile vile na simba ikasonga mbele.
Mwanzoni mlisema Simba hatoboi makundi na akapewa nafasi kubwa Horoya ila imekuwa kinyume chake.
Tusibiri muda ufike mpira uchezwe uwanjani.
Kadri mnavyozidi kuitabiria Simba mabaya ndivyo jinsi inavyowaproove wrong.
Time will tell.
Hata Kama hawajasema lakini huu ndio ukweli. Mimi ni mshabiki wa Simba lakini ukweli nauona. Sisi wenyewe Simba tunatamani tupangiwe na wa the least of all hapo walioongoza makundi yao.Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
iangalie mamelod,arafu iangalie Simba,nadhani kuna kitu uatakuwa umekiona.Mazuzu wanapiga stori.
Atakaye kutana naye anakula 7Kuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Tatizo huo mwikoSimba hakuna timu, watu watajipigia Hadi aibu
Kitu hamjui ni kwamba Gor Mahia ya Kenya ndio timu pekee katika ukanda huu wa Afrika Mashariki iliyowahi kutwaa kombe la washindi Afrika mwaka 1986 rekodi ambayo haujavunjwa na timu yoyote katika ukanda huu hivyo eleweni hilo.Simba wanarekodi zuri kimataifa kuliko yanga, timu zilizoko ukanda wa africa mashariki na kati, wanazidiwa na tp mazembe tu.
Acha ujinga wewe wap vimesema vinatamanKuelekea hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika, vilabu vikubwa ambavyo tayari vimefuzu vinatamani kupangiwa na Simba katika hatua hiyo ya mtoano. Vilabu hivyo ambavyo ni Mamelodi Sundowns, Esperance, Waydad Casablanca kwa pamoja vimesema vina tamani sana kukutana na Simba kwani ndio timu yenye unafuu iliyotinga robo fainali.
Ikumbukwe kuwa hizo timu zote ndio vinara wa makundi yao na kuna kila dalili Simba kukutana na mmoja wao..
Kwenu studio...[emoji382][emoji382][emoji382]
Na asiye zuzu anawasikiliza, kweli unafki ni kipaji [emoji119][emoji3]Mazuzu wanapiga stori.
Naona zuzu unanirukia,kafie mbeleNa asiye zuzu anawasikiliza, kweli unafki ni kipaji [emoji119][emoji3]
Mtani huu mchezo huwa hauhitaji hasira [emoji1]Naona zuzu unanirukia,kafie mbele
Janja ya Simba imeng'amuliwa, goli saba za mchongo ili kuwatisha wakubwa zimeshitukiwa ndo maana anagombaniwa kama mpira wa kona.Simba imemfunga mtu goli Saba halafu uombe ukutane nayo...Katoe kwanza huo mwiko huko nyuma wanaume waje waingize vizuri