Robo fainali Cafcl, Simba yagombaniwa kama mpira wa kona

Mkahangaike na losers wenzenu, huku kwa mabingwa hakuwahusu si Al hilal aliwafurusha km mbwaa mwizii, hata makundi hamjanusaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Utopoloooooo mmevurugwaaa vibayaaaa khaaaah
Hivi huku kwenye loser si ndo kule mliroga kule bondeni?
 
Hivi huku kwenye loser si ndo kule mliroga kule bondeni?
Sisi tuko kwa wakubwa wenzetuu. Huko kwa losers tusha sahau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sosi?
 
yaani umfunge mamelod nje ndani,acheni jamani khaaa!
 
Hata Kama hawajasema lakini huu ndio ukweli. Mimi ni mshabiki wa Simba lakini ukweli nauona. Sisi wenyewe Simba tunatamani tupangiwe na wa the least of all hapo walioongoza makundi yao.
 
Atakaye kutana naye anakula 7
 
Simba wanarekodi zuri kimataifa kuliko yanga, timu zilizoko ukanda wa africa mashariki na kati, wanazidiwa na tp mazembe tu.
Kitu hamjui ni kwamba Gor Mahia ya Kenya ndio timu pekee katika ukanda huu wa Afrika Mashariki iliyowahi kutwaa kombe la washindi Afrika mwaka 1986 rekodi ambayo haujavunjwa na timu yoyote katika ukanda huu hivyo eleweni hilo.
 
Acha ujinga wewe wap vimesema vinataman
 
Simba imemfunga mtu goli Saba halafu uombe ukutane nayo...Katoe kwanza huo mwiko huko nyuma wanaume waje waingize vizuri
Janja ya Simba imeng'amuliwa, goli saba za mchongo ili kuwatisha wakubwa zimeshitukiwa ndo maana anagombaniwa kama mpira wa kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…