Robo fainali Cafcl, Simba yagombaniwa kama mpira wa kona

Janja ya Simba imeng'amuliwa, goli saba za mchongo ili kuwatisha wakubwa zimeshitukiwa ndo maana anagombaniwa kama mpira wa kona.
Za mchongo basi kila mtu angefunga..hata wale wenye mwiko nyuma
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dash inasikitisha ila inatia huruma Kila akheri chama langu makolo
 
Hata Kama hawajasema lakini huu ndio ukweli. Mimi ni mshabiki wa Simba lakini ukweli nauona. Sisi wenyewe Simba tunatamani tupangiwe na wa the least of all hapo walioongoza makundi yao.
Acha uwoga mkuu. Yeyote atakayepangwa na Simba ni size yetu. Tena wawe makini maana wanaweza jikuta wanatolewa. Inshaalah Simba itafanya vizuri.
 
Acha uwoga mkuu. Yeyote atakayepangwa na Simba ni size yetu. Tena wawe makini maana wanaweza jikuta wanatolewa. Inshaalah Simba itafanya vizuri.
Asante kwa kunipa moyo mkuu. Simba nguvu moja💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…