Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Walitolewa nusu fainali mwaka gani na timu gani...danganya nikuumbue...hahaah unaleta story za vijiwe vya kahawa mkiwa mmelewa
Yanga haijawahi kufika robo fainali ya champion league, ilifika robo fainali ya club bingwa ya Africa yaani kabla haijabadilishwa muundo.Ilifika lini robo fainali yanga labda enzi za ukoloni...nauhakika we ulikuwa hujazaliwa umekuta tu kwenye vitabu vya historia
Mwaka gani??...mekwambia usilete habari za vijuwe vya kahawa hapa....ndo mana mekwambia hujui lolote..mafanikio makubwa kwa yanga kwenye ligi ya mabingwa ni kucheza hatua ya makundi mwaka 1997 ambapo walimaliza kwa kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa maning rangers ya afrika kusini cha goli sita...historia ya soka imelala hapa wadanganye watoto wenzioWalitolewa na Asante Kotoko ya Ghana. Kama unatawaliwa na ushabiki huwezi kujua haya mambo. Jifunze kutafuta data kabla hujajiabisha.
Mfiaukweli hawezi kujua vitu kama hivi....analeta story za vijiwe vya kahawa...huko huenda huwa wanadanganyana kuwa yanga ashawahi chukua hata ubingwa wa africaYanga haijawahi kufika robo fainali ya champion league, ilifika robo fainali ya club bingwa ya Africa yaani kabla haijabadilishwa muundo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmepata tabu sanaThis is simba [emoji91][emoji91][emoji91]
Bado mawili ya MK
Leo mmeiona aibu kama loteTunamshukuru Mh rais kwa jitihada zake Simba inafanya vizuri[emoji3][emoji3][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
AaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahInawezekana hawa Tp mazembe wanatumia lile vumbi lao
Mkuu nimeziona dakika 90 kama ulivyosema. Yako wapi.?Mpira dakika 90
Mwaka gani??...mekwambia usilete habari za vijuwe vya kahawa hapa....ndo mana mekwambia hujui lolote..mafanikio makubwa kwa yanga kwenye ligi ya mabingwa ni kucheza hatua ya makundi mwaka 1997 ambapo walimaliza kwa kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa maning rangers ya afrika kusini cha goli sita...historia ya soka imelala hapa wadanganye watoto wenzio
Mfiaukweli hawezi kujua vitu kama hivi....analeta story za vijiwe vya kahawa...huko huenda huwa wanadanganyana kuwa yanga ashawahi chukua hata ubingwa wa africa
Mwaka gani??...mekwambia usilete habari za vijuwe vya kahawa hapa....ndo mana mekwambia hujui lolote..mafanikio makubwa kwa yanga kwenye ligi ya mabingwa ni kucheza hatua ya makundi mwaka 1997 ambapo walimaliza kwa kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa maning rangers ya afrika kusini cha goli sita...historia ya soka imelala hapa wadanganye watoto wenzio
TPL kila mtu ashinde game zake.. acha kujikuna Mwajuma ndala ndefu weweViporo vyenyewe ni kwa hisani ya Bodi ya ligi na Tff, kupelekea ubingwa was hisani.
Najua siku ile tuliwakera sana... lini Yanga mtatukera kimataifa?Kiukweli nimeshuhudia ukimya wa jiji, yaani nimeoanisha siku ile wanatinga robo fainali ilikuwa fujo.
Leo nilijaribu kuchungulia na kutoka nje naona mji umepoa utadhani, jeshi la watanzania limetoa "ONYO KUTOKA NJE"
Tushawazoea midomo yenu mliishaigeuza Tigo, badala ya kuongea point, ni vinyesi tu. Na hiyo yote ni hasira ya kutobolewa marinda 5G-1 huko Lubumbashi, mmebaki kuweweseka tu. Poleee Bi Hindu.TPL kila mtu ashinde game zake.. acha kujikuna Mwajuma ndala ndefu wewe