Umepaniki mzee! 'Relax' ndio ishatokea hivyo, hata ukipovuka haisaidii kitu! Mmeshatolewa karibuni kwenye ligi yetu ya ' kichovu'Utakusanyaje kapu la magoli wakati hujawahi fika hatua aliyofika simba....fika wewe tuone utapigwa goli ngapi...kwani mara ya mwisho hatua za makundi zile 6 mlizopigwa Maning rangers halikuwa kapu la magoli????hizo hatua utaishia kuziona kwenye tv wakati wenzio tunazicheza
Sawa mtani sasa ni wakati muafaka wa kula viporo vyetu bila bughudha wala stress za waarabu na wakongo. ππππHakika Mtani huu uliousema hapa ndio ukweli.
Mgange ya viporo sasa.
Wadhani. Yaani kuna watu nimewaona page za mwanzo kila ninavyozidi kusonga mbele siwaoni tena. π π π
Aise; Mara nyingi wkend huwa haupatikanagi kabisa Shadeeya. Embu waandae ma uncle muende beach,Van pebles naomba Dictionery hebu. Kama huna mwambie Sanchez magoli anipatie.
Au King Ngwaba yako ipo karibu unitafsirie Mtani. ππππ
Etiii eeeeee. Haya bana.Mjipange hasira zote tunazimalizia kwenye Ligi hatutaacha kitu kimburu chochote kitakacho katiza mbele yetu Tutalala nacho mbele.
Muandae majenereta tu (miamala) maana umeme waeza katika pia Mtani.Sawa mtani sasa ni wakati muafaka wa kula viporo vyetu bila bughudha wala stress za waarabu na wakongo. ππππ
Simba nguvu moja
Hahahaaa. Yaani Mtani nimepata chance kidogo nikaona nije nicheke huku.Aise; Mara nyingi wkend huwa haupatikanagi kabisa Shadeeya. Embu waandae ma uncle muende beach,
Ndio ujue Mazembe sio watu wazuri Mkuu. πππ
Kweliii?
Tupo kamili gado mtani usiwe na wasiwasi juu ya hilo, halafu msisahau kuleta sahani ππMuandae majenereta tu (miamala) maana umeme waeza katika pia Mtani.
Horoya ametolewa na Wydad kwa magoli 5-0 , Al ahly kafungwa 5-1 na Mamelod na kutoka, Constantine kapigwa jumla 6-3 na Esperance huku Simba ikifungwa 4-1 na Mazembe kwa matokeo hayo bado Simba imefanya vyema kwa hatua iliyofika! Hongereni Simba a. K. a Mnyama.Ndiyo, sherehe ilikuwa ya dakika chache tu.
Sasa hivi tunatafakari tu yaliyojiri.
Yaani. Kama nakuona ulivyokuwa mdogo ghafula. ππππNdiyo, sherehe ilikuwa ya dakika chache tu.
Sasa hivi tunatafakari tu yaliyojiri.
Hahaaaa. Hivi uliweza kula cha jioni kweli Mtani maana kwa wengi kilikuwa kichungu jana. ππTupo kamili gado mtani usiwe na wasiwasi juu ya hilo, halafu msisahau kuleta sahani ππ
Nipaniki kwa kufika robo fainali ligi ya mabingwa...waliopaniki mbona wanajulikana...timu yangu imefika hatua ambayo tangu uzaliwe hujawai uona timu yako ikifika kati yangu na wewe nani wa kupanikiUmepaniki mzee! 'Relax' ndio ishatokea hivyo, hata ukipovuka haisaidii kitu! Mmeshatolewa karibuni kwenye ligi yetu ya ' kichovu'
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba umtafute Shunie, nina ujumbe wake muhimu sana sanaRafiki mtu chake hatimaye mumewachezesha ndombolo kama ulivyosema aiseee.
Wasalimie huko Lubumbashi najua hamkulala leo.
Yaani kufungwa ndio kunifanye nisile? nilikula msosi kwa amani kabisa, halafu unajua nini mtani kufungwa hakuishi kupo tu ndio maisha ya mpira yalivyo.Hahaaaa. Hivi uliweza kula cha jioni kweli Mtani maana kwa wengi kilikuwa kichungu jana. ππ
Duuh! Pole sana Mtani.Acha tu Mtani, ile namaliza kupost tu goli likarudi.
Yaani. Kama nakuona ulivyokuwa mdogo ghafula. ππππ
Hakika ndio kilichobakia.