Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Tunashukuru kucheza robo fainali. Ni beyond our expectations. Mchezo wa leo wachezaji wamejituma mno ila tumezidiwa kimchezo.

Kwangu kwa mechi ya Lubumbashi mashujaa ni benchi la ufundi, lakini pia key player leo ni Aishi Manula na Erasto Nyoni.

Tunawashukuru wachezaji wote kwa heshima mliyotupa. Leo mmekutana na timu bora Africa lakini mmekufa kiume.

Tutajipanga michuano ijayo! Vile viporo vijipange!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
@moderator mbona uzi wangu ni kinyume na updates za huu mchezo? Pengine hamuelewi nimeandika nini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulie kwa lipi...kwa kuingia robo fainali na kutolewa...wanalia ambao tangu wanazaliwa hawajawahi iona timu yao inafika hatua hii
Hawa wasikupe taabu jamaa... Simba Amewaumbua kuwa atatokea makundi
 
NIWAPE PONGEZI KUBWA KWA USHAURI MLIOFWATA KUPUNGUZA MAGOLI HII N HESHIMA
Screenshot_20190413-181023.png
Screenshot_20190413-180908.png
Screenshot_20190413-180935.png
 
Back
Top Bottom