Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Robo Fainali Klabu Bingwa Africa: TP Mazembe 4 - 1 Simba SC

Mi ni shabiki wa TP Mazembe kwa muda. Baada ya leo sina ushabiki nayo tena. Mi ni Yanga tu toka utotoni.
Hahaah shabiki wa Tp mazembe baada ya kuona timu lake bovu limekosa mvuto so anatafuta timu inayocheza na simba adui zake ili ajifariji
 
@Shaffih Dauda anasema....Mechi kadhaa za mwisho za TP Mazembe ndani ya uwanja wao wa Nyumbani.
::
Mazembe 2 - 0 CS Costantine
Mazembe 8 - 0 Club Africain
Mazembe 2 - 0 Ismaily
Mazembe 1 - 0 Zesco United
Mazembe 1 - 1 De Agosto
Mazembe 1 - 1 Difaa El Jadida
Mazembe 1 - 0 MC Alger
Mazembe 4 - 1 El Setif
Mazembe 4 - 0 US Dongo
::
Takwimu zinaonesha katika mechi 4 za mwisho hawajaruhusu goli lolote wakiwa nyumbani wakiwa wamefunga magoli 12.
::
Wakati upande wa pili wa karata Vigogo wa soka wa Tanzania Simba mechi zake 4 za mwisho ugenini wamefunga goli moja tu dhidi ya (Nkana FC) na kufungwa magoli 14.
::
Kikubwa tahadhari na kumheshimu mwenyeji. Magoli ni kitu cha muhimu.
Qummer-maye wallah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom