interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Niko naye Mirembe huyo naendelea kumrekebisha akili kidogo, inaonekana alikuwa anaota ndoto[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nimecheka mpaka basi,[emoji23][emoji23]
Tumekuwa wapole kwa kuingia robo fainali???naona wewe ambaye hujawahi fika hii hatua tangu uzaliwe umekuwa mkaliDawa imeingia vizuri sana ndiyomaana mmeamua kuwa wapole kama kuku wa kizungu vile[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijuaje Chifu, agiza pepsi unywe nitakuja kukulipia si muda mrefu
Sema bora tumefungwa zuhura atapata pakusemea maana toka as Vita tumfunge amekuwa kama mkiwaBora wamefungwa maana si kwa matusi hayaa.
Mzunguko wa kwanza mlipataje matokeo kwao? acha kujitoa ufahamu[emoji16]Lipuli aliwatatua marinda yanga mkuu..naona aliwatatua mpaka washabiki wake wameanza kupoteza kumbukmbu
Aiseeee,Kocha yupi tena huyo sheikh wangu?Huyu kocha ni msenge msenge
Hahaah shabiki wa Tp mazembe baada ya kuona timu lake bovu limekosa mvuto so anatafuta timu inayocheza na simba adui zake ili ajifarijiMi ni shabiki wa TP Mazembe kwa muda. Baada ya leo sina ushabiki nayo tena. Mi ni Yanga tu toka utotoni.
Ndio huyu mnapiga kelele aanze Stars?Katika kosa kubwa alilolifanya mwalimu ni kumuacha Mkude uwanjani. Ukabaji mbovu kabisa
Kumbuka yanga safari hii hamna chenu pale TPLRoho imeniuma sana kwanini Makelele FC hakupigwa hamsa hamsa 5-0[emoji57][emoji19][emoji35][emoji34]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui mpira na ufuatilii mpira...but timu lako yanga bovu ndo litakuwa limesababisha uache kufuatilia mpira...mzunguko wa kwanza tulitoka nae sare dar mzunguko wa pili tumewapiga tatu kwao....unaswali jingine???Mzunguko wa kwanza mlipataje matokeo kwao? acha kujitoa ufahamu[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaa....!This is Simba.. Alisikia tapeli na mlevi mmoja maeneo ya Kariakoo akisema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui mpira na ufuatilii mpira...but timu lako yanga bovu ndo litakuwa limesababisha uache kufuatilia mpira...mzunguko wa kwanza tulitoka nae sare dar mzunguko wa pili tumewapiga tatu kwao....unaswali jingine???
Qummer-maye wallah!@Shaffih Dauda anasema....Mechi kadhaa za mwisho za TP Mazembe ndani ya uwanja wao wa Nyumbani.
::
Mazembe 2 - 0 CS Costantine
Mazembe 8 - 0 Club Africain
Mazembe 2 - 0 Ismaily
Mazembe 1 - 0 Zesco United
Mazembe 1 - 1 De Agosto
Mazembe 1 - 1 Difaa El Jadida
Mazembe 1 - 0 MC Alger
Mazembe 4 - 1 El Setif
Mazembe 4 - 0 US Dongo
::
Takwimu zinaonesha katika mechi 4 za mwisho hawajaruhusu goli lolote wakiwa nyumbani wakiwa wamefunga magoli 12.
::
Wakati upande wa pili wa karata Vigogo wa soka wa Tanzania Simba mechi zake 4 za mwisho ugenini wamefunga goli moja tu dhidi ya (Nkana FC) na kufungwa magoli 14.
::
Kikubwa tahadhari na kumheshimu mwenyeji. Magoli ni kitu cha muhimu.
Simba inarudi nyumbani kutembeza kichapi sio mpunga kuhonga, ila nyie mtatembeza bakuli mpaka mkomeSawa rudi nyumbani kumenoga Makelele FC utembeze mpunga ili uchukue kombe la figisu figisu
Sent using Jamii Forums mobile app