Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Na mliokuwa mkisema TP Mazembe ni kiboko?
Leo si umeona wamevunja ule mwiko kuwa hata ije Barça lazima ifungwe. TP leo hawajafungwa pale kwa mchina leo. Tout puissant Mazembe. Bravo.
 
Watoto wa uswahilini bado wanasubiri penalti ya Bocco wapate mpira wa mazoezi...
 
Hahaaaa!
 
Vyovyote itakavyokuwa ila ndio mpira huo na tumejifunza mengi mpaka sasa.
 
Leo waarabu watakuwa wekundu. Hakika wasouth wameutumia vizuri uwanja wao. Al ahly kazi anayo kupindua.
Hii kupindua ni ngumu, labda mashabiki waingie uwanjani na zile filimbi pamoja na tochi za kuwazingua wachezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…