Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapofikia ligi ya mabingwa wa Afrika, kuanzia makundi wote ni magwiji. Watu walidhani ni sawa na kucheza na NdandaHalafu kuna watu walikuwa wanaicheka Simba Sc kwa kufungwa 5, wakati hata Mwarabu mwenyewe anachezea 5
Na mliokuwa mkisema TP Mazembe ni kiboko?Simba haya wakafunge kule Lubumbashi. Walikuwa wanasema tp Mazembe ya sasa ni butu. Haya sasa Simba mwende mkashinde kule Lubumbashi.
Leo si umeona wamevunja ule mwiko kuwa hata ije Barça lazima ifungwe. TP leo hawajafungwa pale kwa mchina leo. Tout puissant Mazembe. Bravo.Na mliokuwa mkisema TP Mazembe ni kiboko?
Kumbe tunaogopeka eeeh!Leo si umeona wamevunja ule mwiko kuwa hata ije Barça lazima ifungwe. TP leo hawajafungwa pale kwa mchina leo. Tout puissant Mazembe. Bravo.
Hahaaaa!Mechi ya leo, imehitimisha mwisho wa hadithi nzuri ya kuvutia ya Simba kwa msimu huu katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wamepambana vya kutosha, hawakupoteza mechi yoyote nyumbani, pongezi kwa uongozi, benci la ufundi na wachezaji.
Tukutane msimu ujao tena!
Keshakuwa boko haramu tayariHii mechi simba isiposhinda basi bila shaka boko atageuka kuwa boko haramu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote itakavyokuwa ila ndio mpira huo na tumejifunza mengi mpaka sasa.Mechi ya leo, imehitimisha mwisho wa hadithi nzuri ya kuvutia ya Simba kwa msimu huu katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wamepambana vya kutosha, hawakupoteza mechi yoyote nyumbani, pongezi kwa uongozi, benci la ufundi na wachezaji.
Tukutane msimu ujao tena!
Leo team wenyeji zitashinda kasoro Simba tu.Kumbe tunaogopeka eeeh!
Hii kupindua ni ngumu, labda mashabiki waingie uwanjani na zile filimbi pamoja na tochi za kuwazingua wachezaji.Leo waarabu watakuwa wekundu. Hakika wasouth wameutumia vizuri uwanja wao. Al ahly kazi anayo kupindua.
Lakini ni jambo la kujiuliza pia. Kama aliyemfunga Simba magoli 5 kapigwa 5 huko Africa kusini je Simba wangekuwa na kapu na magoli kiasi gani dhidi ya mamelod?Halafu kuna watu walikuwa wanaicheka Simba Sc kwa kufungwa 5, wakati hata Mwarabu mwenyewe anachezea 5
Sent using Jamii Forums mobile app