Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika: Simba SC na TP Mazembe zatoka sare uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

Watoto wa uswahilini bado wanasubiri penalti ya Bocco wapate mpira wa mazoezi...
 
Mechi ya leo, imehitimisha mwisho wa hadithi nzuri ya kuvutia ya Simba kwa msimu huu katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wamepambana vya kutosha, hawakupoteza mechi yoyote nyumbani, pongezi kwa uongozi, benci la ufundi na wachezaji.

Tukutane msimu ujao tena!
Hahaaaa!
 
Vyovyote itakavyokuwa ila ndio mpira huo na tumejifunza mengi mpaka sasa.
 
Leo waarabu watakuwa wekundu. Hakika wasouth wameutumia vizuri uwanja wao. Al ahly kazi anayo kupindua.
Hii kupindua ni ngumu, labda mashabiki waingie uwanjani na zile filimbi pamoja na tochi za kuwazingua wachezaji.
 
Wa matopeni/kikosi kipana/mbumbumbu fc mnakwama wapi hivi?

Jezi ya TP mazembe imeandikwa Simba "butamu ya kwetu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
45minutesstore-20190406-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom