Rockstar games wanazirejesha gta 3, vice city na san andress november hii.

wachukulie play station 4 au 5. utakuwa unawanunulia cd tu. play stion 4 mpya ni around lak 8 nafikiri hadi milion. ps5 ni milioni mbili na kitu, cd za ps4 ni around laki na 20 kwa mpya na laki 2+ kwa ps5.
kama uko maeneo ya mjini zinapatikana kwenye maduka yauzayo gargets mbali mbali.
waweza wacheki hawa gamestoretz wako instagram.
ila kama ni watoto uwe na control nao nzuri tu maana waweza kuta zikawachukulia mpaka muda wa kufanya mambo ya msingi zaidi, eg kazi za shule, kazi za nyumbanu etc.
 
The same PC specification mmoja, anaitumia Kama burudani mwengine ni tool ambayo anatamani aipate kwa lengo la kufanya kazi itakayompatia kipato cha kulisha na kusomesha watoto.
Pogba mguu wake anakula mabilioni kadhaa, wakati kuna mtu huku anapiga kiki ya pikipikk(fekon)

Ndio maisha hayo.
 
Yaah siku zote ndivyo ilivyo. ukiwa huna hela unaona wenye nazo wanazichezea... Maisha haya basi tu.😀😀
Its true, ukijinnulia hiki utaski anatupa pesa si bora angenipa mimi. Kumbe na yeye ndo matumizi yale kwake si pesa yake na alishasema kuwa natoa kias flan nannua hiki ili ntumie hivi. Ni matumizi tu tofauti, na akikosa anaona anajinyima.
 
Family game, Sega... hahahaha! Sonic the hedgehog, sonic and knuckles, Tomb Rider, Sun set riders, Abes, Splinter cell, grand turismo, F1 etc. The yester years and childhood i can say.
 
Imebidi nirudi youtube kuangalia baadhi ya games za kipindi hicho hasa NFS, GTA VC, SA, Project IGI 1 na 2.
 
Game za PC naona ni michosho sana..

Kwanza ni risk mnoo kuua mashine.
 
Sio kweli. Labda zingatia requirements.

Muhimu kama ni mpenzi wa games basi pc yako iwe ni gaming pc.
Even..
So far natumia Gaming PC kwa shughul nyingine sio kuchezea game, nimeona nivute PS5 na wide screen (curved one) baasi naenjoy more than on PC
 
Even..
So far natumia Gaming PC kwa shughul nyingine sio kuchezea game, nimeona nivute PS5 na wide screen (curved one) baasi naenjoy more than on PC
Hio Gaming pc yako ina hadhi sawa na ps5 yako? Maana isije kuwa ina specs za kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…