Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
- Thread starter
- #41
wachukulie play station 4 au 5. utakuwa unawanunulia cd tu. play stion 4 mpya ni around lak 8 nafikiri hadi milion. ps5 ni milioni mbili na kitu, cd za ps4 ni around laki na 20 kwa mpya na laki 2+ kwa ps5.Kwema boss,
Mie nataka ninunue game for my kids ila sina ujuzi sana kwenye hili maana mie nilicheza zile need 4 speed za kwy PC.
Nataka zile unit kama ma X Box au PSx sa sijajua ipi nzuri na ntapata games kibao na isitegemee internet connection sana kwa watoto kucheza....
Unaeza nipatia some details ipi bora, nzuri na haizingui na itapendeza kama ni kuagiza ukaniwekea hata ki link. Natanguliza shukran.... kwani naamini wajomba zako wakicheza kwy ile 65" watafurahi sana...ndo maisha haya haya boss.
kama uko maeneo ya mjini zinapatikana kwenye maduka yauzayo gargets mbali mbali.
waweza wacheki hawa gamestoretz wako instagram.
ila kama ni watoto uwe na control nao nzuri tu maana waweza kuta zikawachukulia mpaka muda wa kufanya mambo ya msingi zaidi, eg kazi za shule, kazi za nyumbanu etc.