Una umri sawa na Jumaa Aweso, mwenzako ni mbunge na waziri wa maji hahaaa
Roho inaniuma jamani Leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.
Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpka Leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii