imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
True lakini asizubaeIpo siku yako tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True lakini asizubaeIpo siku yako tu
👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊✌✌✌Mimi kwa asili tu, napenda vitu vilivyopoa.
Sipendi heavy make ups, au kitu chochote kinachovuta sana attention.
Yani hii ndo maana ya huu uzi 👏👏 matarajio yanaua sana mioyo ya watu, tungekua hatuna matarajio tungeishi maisha tunayostahili.Tatizo letu vijana tuna matarajio na ndoto kubwa sana, mwisho wa siku umri unatutupa mkono wakati PESA HATUNA na FAMILIA hatuna.
optimism.Pambana mkuu, life starts at 40. You still have 5 years before life begins.
Mie bahat sijui nzuri au mbaya nna marafiki wengi walimu secondary..sasa nna shost ni kichwa balaa anafundisha kemia ..alikuja kwangu nna vifaranga vingii vya kienyeji nikamwambia nimeamua kuongeza kipato pia kupitia kuku wa kienyej zaman nilikua nafuga mradi kuche ss naokota mayai napeleka incubator....akaniamba mhhh mm mume wangu hawez ruhusu niweke vifaranga ndan ya nyumba yake🤣! Ss hyo nyumba anayoisema sasa😶!Kuna dogo mmoja, alihitimu ualimu wa shule ya msingi mwaka Mei 2019. Akapata shule kujitolea kufundisha kijijini kabisa,akipewa chumba na vilalio. Kila mwezi alipewa sh. 80,000 tu. Aliamua kufuga kuku wa kienyeji. Mchana wanazurura usiku anawafungia.
Japo alilaani sana kuishi kijijini hadi kutamani kuacha kibarua, siku hizi anakataa kuhamia mjini anataka abaki bush. Kwanini?
Kila wiki anaweza kuuza kuku 5 hadi 10 kwa wastani wa @12,000/=. Na bado anaendelea kufundisha. Hii ina maana akiuza kuku 5 kwa wiki anapata sh. 60,000/= sawa na 240,000/=. Akiongeza na posho ya laki anakuwa na 340,000/= kwa mwezi.
Vijana wengi wanataka kuishi mjini na kufanya kazi bila kuchafuka. Kumbe hata vijijini kuna fursa za kutosha. Rudi nyumbani kumenoga.
kazubaa sanaa, huyu member nilianza mjua jf toka zamani sana. Life style lake linajieleza kupitia thread zake za kitambo sana.. ili kupata ahueni aanze jifanyie Auditing.. aanze kuwa CAG wa maisha yake.. atapata pa kuanzia kunasukaTrue lakini asizubae
Uzi wake wa juzi nilimpa facts kama hizi kuna mtu akasema unasema hivuo kwan unamjua? Mtu unamjua tu kupitia andika yake huyu amejilegeza mayb anajua kuna msaada nyuma yake...kazubaa sanaa, huyu member nilianza mjua jf toka zamani sana. Life style lake linajieleza kupitia thread zake za kitambo sana.. ili kupata ahueni aanze jifanyie Auditing.. aanze kuwa CAG wa maisha yake.. atapata pa kuanzia kunasuka
Daaa aiseeeUna umri sawa na Jumaa Aweso, mwenzako ni mbunge na waziri wa maji hahaaa
Awe CAG wa maisha yake kabla msongo wa mawazo haujashika namba ya kudumu. Ukipitia mabandiko yake mengiu utapata picha kamili ya huyu mtu na maisha yake.. kama uligangulia kumpa facts kama hajakusikiliza anaweza vunjika shingoUzi wake wa juzi nilimpa facts kama hizi kuna mtu akasema unasema hivuo kwan unamjua? Mtu unamjua tu kupitia andika yake huyu amejilegeza mayb anajua kuna msaada nyuma yake...
watu ambao hamjui, ila hamjui kuwa hamjui ni wapumbavu.optimism.
Maisha yanaanza siku ile unatoka tumboni kuja duniani.
Huo msemo ndio unazalisha uvivu wa kufikiri na utegemezi kwa watu chini ya miaka 40.
Mkuu we are at a same age ila mwezank mm nilibahati kupata mto nikiwa na age ya 25 hv ila HV Sasa ugomvi mkubwa uliibuka nikanyanganywa mtot , kwa kitupi nilinyanganywa jukumu lote Kaz zangu nimepoteza nyingi tu biashara nazo zimekufa nying mno nadata ApA nilipo kwa kitupi celewi hatama ya maisha yanguRoho inaniuma jamani leo nimetimiza miaka 35 kamili sina mtoto wala sina maisha licha ya kutumia miaka 10 katika kupambana na maisha.
Uzee sasa umepiga hodi taratibu hapa nilipo nahisi naanza kuchanganyikiwa kwa umri huu mpaka leo hii naishi maisha ya kubangaiza nipate hela ya kula miaka 35 yote hii.
Good umejinotice na kuadmit kwamba haujui.watu ambao hamjui, ila hamjui kuwa hamjui ni wapumbavu.
NakaziaPambana mkuu, life starts at 40. You still have 5 years before life begins.
Your IQ is too low to understand!Good umejinotice na kuadmit kwamba haujui.
Optimism sio kitu kizuri na maisha huanza ile siku unazaliwa mengine ni kujifariji.
Unfortunately hiyo ni Fact na ukweli mchungu.