Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

Una umri sawa na Jumaa Aweso, mwenzako ni mbunge na waziri wa maji hahaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]paragraph ya mwisho
 
Kama una afya njema shukuru MUNGU , kuna ndoa zipo na maisha unakuta wana 45 na hawana watoto, watoto ni zawadi toka kwa mwenyezi MUNGU , tafuta binti wakukufaa kama unauwezo wakulipa kodi oa, lakini kusema mpaka ujenge nyumba sijui gari zuri utakwama tafuta binti wakuendana naye oa, baraka nyingine hupatikana kwa mke na mme!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Umeoa?
 

Muombe Mungu na Pambana sana

Usikate tamaa ungali hai
 
Hapo sawa...mie nasemaga hata kakangu asioe wadada wanaobandika mikucha mikono yote .ntamvuruga had ajute 😏! Hawaaminiki..wavivu balaa...!
Mimi kwa asili tu, napenda vitu vilivyopoa.

Sipendi heavy make ups, au kitu chochote kinachovuta sana attention.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…