Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

Umepigwa. Sio zenyewe.

Nashindwa elewa inakuwaje za jirani ziko vile vile zangu ndo zipauke wakati aina na geji na rangi na kampuni ni hizo hizo na alikonunua namie ndio nilenda chukulia hapo hapo
 

Zipp bhana mbona tunaziona kwa majirani kila siku zinaonekana mpya?
 

Kweli kabisa hili ndio limenitokea sana hadi kofia nazo zimepauka
 

Inaniuma sana tena kama nikiangalia hizo bati walizofanya kama uzio sehemu ujenzi unafanyika ni kama zangu walah zinang'a utadhani kila siku wanapaka rangi wakati zinafanana na zangu rangi hiyo hiyo yaani daaa!!!
 

Sijanunua alaf mkuu mi niliaminishwa nikanunua pale tazara kuna kampuni moja kubwa sana inachuana na alaf
 
Ukiwa na ujenzi kama unaweza kwenda kiwandani alaf nenda, kama huwezi hakikisha huyo wakala anakupa guarantee kuepika kununua bati fake.

Kabisa mkuu najilaumu sana
 
Asikwambie mtu Hamna kitu inauma kama bati inapauka hata bado kuamia hujahamia[emoji38]

Hapa sina hamu hata ya kuhumia na jilijitutumua paa la style style ili nifunike mtaa na bati langu la blue paa limenyanyuka senta ya 400sentimita yaani daaa[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mkuu paka rangi,tena piga PVA chapa kiboko,utanishukuru baadae

Kuna mtu kanishauri hivyo hivyo ila yeye kaniambia ya plascon eti nipake kwa ufagio (softbroom)kama hizi wanzofagia nazo ndani eti ndio rangi itakolea vizuri na akakazia nisutumie mashine eti nikitumia mashine zitajapauka tena baadae
 

Inawezekana ukweli maana juzi hapa jamaa tangu kaenda nunua hapa nineona maandishi hayo hayo unavyosema nje na ndani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…