Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Rangi Nyeupe ni Rangi piaaaYaani nimefanikiwa kujenga nyumba tena kubwa ila sijahamia bado vitu vichache nihamie, lakini kinachoniuma kipindi napaua (kupiga bati)niliaminishwa kuwa bati za kampuni fulani (hapa siitaji jina) ni nzuri na nikaonyeshwa nyumba ya jirani yenye hizo bati kuwa hazipauki.
Nilikubali baada ya kukagua na nikajiridhisha kila kitu, nikaenda nunua hizo bati pale Tazara nikapaua nyumba vizuri tu, sasa ni miaka 4 tangu nipaue sijahamia lakini zile bati kwa kweli zinatia kinyaa zimepauka hadi sina hamu ya kuhamia tena huko.
Hapa kinachoniuma zaidi nyumba ya jirani zake rangi iko vile vile na ni yeye aliniagizia alikonunua hadi bei ni hiyo hiyo, na hata jirani na ofisini kuna bati kama hizo hizo zimezungushiwa kama fensi sehemu wanakojenga hazijapauka kila siku naona ni mpya na nashindwa elewa hapa kuna siri gani kwenye hiyo kampuni nyingine zipauke nyingine zisipauke!
Hapa nawaza je! Ninunue bati zingine au ninunue rangi ya bati nikapake upya kwa mkono?
Ushauri wenu naombeni.
Kaulizie hardware,kama upo Dar nenda KamakaFundi kaniambia ndoo ya 20ltrs eti ni 180000 ni kweli au napigwa tena
Kuna Jamaa yangu alinunua bati kampuni iliyotajwa kwenye comment ya mwanzo Kabisa ila zimegawanyika mara mbiliPiga rangi maisha yaendelee.
Bidhaa huwa zinazalishwa kwa batch. So unaweza kukuta batch moja iko vizuri ila nyingine ikazingua.
So za jirani ni za kampuni Sawa na yako ila ni batch tofauti. Kwa hiyo inawezekana yake iko vizuri ila wewe ulibahatika kununua batch zisizo nzuri.
Hujawahi kuona nyumba moja na bati alinunua za kampuni moja lakini unakuta baadhi zimeshaanza kupauka na zingine bado rangi iko vizuri?
Au unakuta kofia bado zinang'aa lakini bati imepoteza mng'ao wake. Au bati iko poa ila kofia zimepauka!
Nilichanganyiwa kabisa,baada ya miezi 5 ndio nikaja kujuaKupauka lazima itapauka ila ishu ni mda wa kupauka..
Hapo utakuwa ulichanganyiwa hizo bati.
Kwani utalala huko kwenye mabati? Kama nyumba inavuja unasababu ya kusumbua ubongo hongera kwa kujenga .Yaani nimefanikiwa kujenga nyumba tena kubwa ila sijahamia bado vitu vichache nihamie, lakini kinachoniuma kipindi napaua (kupiga bati)niliaminishwa kuwa bati za kampuni fulani (hapa siitaji jina) ni nzuri na nikaonyeshwa nyumba ya jirani yenye hizo bati kuwa hazipauki.
Nilikubali baada ya kukagua na nikajiridhisha kila kitu, nikaenda nunua hizo bati pale Tazara nikapaua nyumba vizuri tu, sasa ni miaka 4 tangu nipaue sijahamia lakini zile bati kwa kweli zinatia kinyaa zimepauka hadi sina hamu ya kuhamia tena huko.
Hapa kinachoniuma zaidi nyumba ya jirani zake rangi iko vile vile na ni yeye aliniagizia alikonunua hadi bei ni hiyo hiyo, na hata jirani na ofisini kuna bati kama hizo hizo zimezungushiwa kama fensi sehemu wanakojenga hazijapauka kila siku naona ni mpya na nashindwa elewa hapa kuna siri gani kwenye hiyo kampuni nyingine zipauke nyingine zisipauke!
Hapa nawaza je! Ninunue bati zingine au ninunue rangi ya bati nikapake upya kwa mkono?
Ushauri wenu naombeni.
Karibu sana kwa maswali na ushauri zaidi kwa mambo yanayohusu finishing zote za rangi ili tuweze kuleweshanaAsnte kwa ushauri barikiwa sana
Kuna Jamaa yangu alinunua bati kampuni iliyotajwa kwenye comment ya mwanzo Kabisa ila zimegawanyika mara mbili
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nunua rangi paka Upya.Yaani nimefanikiwa kujenga nyumba tena kubwa ila sijahamia bado vitu vichache nihamie, lakini kinachoniuma kipindi napaua (kupiga bati)niliaminishwa kuwa bati za kampuni fulani (hapa siitaji jina) ni nzuri na nikaonyeshwa nyumba ya jirani yenye hizo bati kuwa hazipauki.
Nilikubali baada ya kukagua na nikajiridhisha kila kitu, nikaenda nunua hizo bati pale Tazara nikapaua nyumba vizuri tu, sasa ni miaka 4 tangu nipaue sijahamia lakini zile bati kwa kweli zinatia kinyaa zimepauka hadi sina hamu ya kuhamia tena huko.
Hapa kinachoniuma zaidi nyumba ya jirani zake rangi iko vile vile na ni yeye aliniagizia alikonunua hadi bei ni hiyo hiyo, na hata jirani na ofisini kuna bati kama hizo hizo zimezungushiwa kama fensi sehemu wanakojenga hazijapauka kila siku naona ni mpya na nashindwa elewa hapa kuna siri gani kwenye hiyo kampuni nyingine zipauke nyingine zisipauke!
Hapa nawaza je! Ninunue bati zingine au ninunue rangi ya bati nikapake pya kwa mkono?
Ushauri wenu naombeni.
Watu wakisikia mchina wanadharau. Mwisho wa siku wanapigwa.Mimi nilinunua kwa mchina tabata, mwaka wa nne bado ziko sawa
Piga rangi maisha yaendelee.