Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

Mbona rahisi tu. Kama bati ni nzima na tatizo ni rangi tu nashauri kanunue rangi unayoipenda paka bati lako maisha yaendelee. Sioni tatizo la kung'oa hizo bati na kuweka nyingine

Ndio nafikiria hilo
 
Hivi zile zisizo na rangi zina shida gani ukilinganisha na zenye rangi...

Muenekano bhana zinapendezesha nyumba.sasa nyumba ya kisasa naya gharama upaulie bati kama zile za kupigia uzio masaitini huko?
 
Bei gani kwa mita ulinunua,miaka 5 iliyopita nilinunua mita moja elf 15 mita 3 kwa elf 45,wakati yale ya upande wa pili waliuza mita sh elf 7.

Mi nilipigiwa bei ya bati moja 24500 na ninenunua bati 190 ila zimebaki bati 7 na vipande kibao maana nyumba kubwa na paa nyingi nyingi kila upande wa nyumba baraza ipo
 
Sawa mkuu nitafanya hivyo itabidi tuu hata mafundi zaidi ya 5wamenishauri kampuni hiyo hiyo.
Sory hivi kuna ubaya nikabadilisha rangi ingine?yaani bati ni blue nipake brown
hakuna shida yoyote, ni wewe tu na chaguo lako, kila rangi zipo, na bati zingatia lipakwe coat mbili
 
Ulipigwa changa la macho.

Onesha nguvu zako za kiume, ezua weka bati lingine.

Mwaka wa 4 nyumba umeezeka hujahamia itakuwa ukumbi wa wachawi sasa

Nyumba ni kubwa ila mungu mkubwa mda si mrefu nahamia huko na niowe sasa ka umri nako kameenda [emoji85]
 
yep ni kweli, nami nimepiga za kawaida mng'aazo from Alaf, mwaka wa pili huu kama nimenunua jana

Naona wajanja wengi wanazipiga sa hivi kama fasheni fulani zinapendezea sana paa likinyanyuka alafu nyumba iwe na mapaa mengi mengi
 
Back
Top Bottom