Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
ndio na usikute hizo zako zina afadhariNa wewe.walikuchanhanyia na feki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio na usikute hizo zako zina afadhariNa wewe.walikuchanhanyia na feki
Mnatuchanganya sasa,tununue bati gani sasaSio kila kitu chenye bei kubwa ni kizuri au kila kitu chenye bei ndogo ni hafifu.
Kuna watu wametumia Alaf Original kutoka kiwandani bati zimepauka.
Hii ni Alaf original.....ina alama sahihi za bati la AlafView attachment 2335775
View attachment 2335776
Miaka mitatu kuelekea minne na Bado linawaka. Nilipata wakala wa kueleweka. Ila haya mambo ni kubahatisha tu. Kuna ujanja ujanja mwingi sana.
Hapo mkuu paka rangi tu. Usiingie gharama za kupaua upya.
Hii ni Alaf original.....ina alama sahihi za bati la Alaf
mwanzoni makampuni ya kuuza mabati walikuwa makini kupiga rangi, mabati yalikuwa hayapauki. Siku hizi bora ukanunua mabati yasiyo na rangi za viwandani ukapiga rangi wewe mwenyewe.Yaani nimefanikiwa kujenga nyumba tena kubwa ila sijahamia bado vitu vichache nihamie, lakini kinachoniuma kipindi napaua (kupiga bati)niliaminishwa kuwa bati za kampuni fulani (hapa siitaji jina) ni nzuri na nikaonyeshwa nyumba ya jirani yenye hizo bati kuwa hazipauki.
Nilikubali baada ya kukagua na nikajiridhisha kila kitu, nikaenda nunua hizo bati pale Tazara nikapaua nyumba vizuri tu, sasa ni miaka 4 tangu nipaue sijahamia lakini zile bati kwa kweli zinatia kinyaa zimepauka hadi sina hamu ya kuhamia tena huko.
Hapa kinachoniuma zaidi nyumba ya jirani zake rangi iko vile vile na ni yeye aliniagizia alikonunua hadi bei ni hiyo hiyo, na hata jirani na ofisini kuna bati kama hizo hizo zimezungushiwa kama fensi sehemu wanakojenga hazijapauka kila siku naona ni mpya na nashindwa elewa hapa kuna siri gani kwenye hiyo kampuni nyingine zipauke nyingine zisipauke!
Hapa nawaza je! Ninunue bati zingine au ninunue rangi ya bati nikapake upya kwa mkono?
Ushauri wenu naombeni.
Alaf, hua wananunua 'coils' zikiwa colored kabisa toka SA, wao ni kuweka iyo mikunjo na hayo mawimbi ( roll forming )mwanzoni makampuni ya kuuza mabati walikuwa makini kupiga rangi, mabati yalikuwa hayapauki. Siku hizi bora ukanunua mabati yasiyo na rangi za viwandani ukapiga rangi wewe mwenyewe.
sidhani kama wananunua ikiwa zimeshapakwa. ingekuwa hivyo, wakisha press bati kuform migogo bati zingechubuka. MImi nilinunua Alaf mwaka 2006 mpaka leo ziko safi. 2015 nikampeleka jamaa yangu akanunua, ni aibu hata kusema ni za alafu. zimepauka vibayaAlaf, hua wananunua 'coils' zikiwa colored kabisa toka SA, wao ni kuweka iyo mikunjo na hayo mawimbi ( roll forming )
sishangai izo kampuni zinapaka wenyewe hapahapa, bati baada ya miezi 6 hupauka
mkuu nilipata fanya kazi hapo(2016), nna uhakika na ninachokisemasidhani kama wananunua ikiwa zimeshapakwa
Nao hununua china ila ubora wake ndo tatizoAlaf, hua wananunua 'coils' zikiwa colored kabisa toka SA, wao ni kuweka iyo mikunjo na hayo mawimbi ( roll forming )
sishangai izo kampuni zinapaka wenyewe hapahapa, bati baada ya miezi 6 hupauka
Hii kitu hujagundua? Slope ya paa huchangia na kupauka haraka kwa bati, kwa hiyo usitegemee bati iliyosimama ya fensi kupauka haraka.Inaniuma sana tena kama nikiangalia hizo bati walizofanya kama uzio sehemu ujenzi unafanyika ni kama zangu walah zinang'a utadhani kila siku wanapaka rangi wakati zinafanana na zangu rangi hiyo hiyo yaani daaa!!!
Well Said Bro!Piga rangi maisha yaendelee.
Bidhaa huwa zinazalishwa kwa batch. So unaweza kukuta batch moja iko vizuri ila nyingine ikazingua...
Ni sahihi kabisa, Tena tumia ule ufagio wa kudekia wenye muundo wa kama tambi za kuweka kwenye vibatariIla kuna fundi rangi kaniambia kupaka inatumika fagio laini ndio inakole na akakazia kuwa nikitumia mashine eti zitajapauka tena.au ananipanga hivyo maana mashine hana ili alambe kazi
Coils zote huwa zinakuja zikiwa zina rangi kabisa ila kinachotofautisha ni Ile thickness ya coating. Kuna baadhi ya makampuni Yao hata ukichubua kwa mkono tu rangi inatoka.sidhani kama wananunua ikiwa zimeshapakwa. ingekuwa hivyo, wakisha press bati kuform migogo bati zingechubuka. MImi nilinunua Alaf mwaka 2006 mpaka leo ziko safi. 2015 nikampeleka jamaa yangu akanunua, ni aibu hata kusema ni za alafu. zimepauka vibaya
AlAF hazipauki mkuuMkuu bati ambazo hazipauki hazijawahi kuwepo relax usiishii kwa mashindano na kujifananisha kila kitu, iliyopauka ni rangi siyo bati ..
Rangi za bati zako kupauka kusipoteze Furaha ya Nyumba yako. Tusiumie kwa tulivyopoteza na kusahau tulivyobaki navyoo.
sidhani kama wananunua ikiwa zimeshapakwa. ingekuwa hivyo, wakisha press bati kuform migogo bati zingechubuka. MImi nilinunua Alaf mwaka 2006 mpaka leo ziko safi. 2015 nikampeleka jamaa yangu akanunua, ni aibu hata kusema ni za alafu. zimepauka vibaya
aahahahaa dragonSijanunua alaf mkuu mi niliaminishwa nikanunua pale tazara kuna kampuni moja kubwa sana inachuana na alaf