Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

Quran ukiisoma kwa kuielewa huwez ukaendelea kuamini Mungu -mtu, ukaamini kuna mtu ame 'pay for your sins kwa hiyo unaweza fanya dhambi yoyote!
Labda wewe ungetakiwa kuweka bidii ya kuelewa Quran maana nina hakika unahazina ya mapungufu usioyaelewa ya Ukristo kuliko Aya za Allah Sabhana Wataalah
 
Nazingatia post [HASHTAG]#346[/HASHTAG]
Nilitaka nikusaidie kwamba wewe unaimani kwamba Mungu ni mmoja! Hili hukunijibu ila Umeenda mbele tu. Yaani Mungu wa Ukristo atuletee Muhammad kwamba ndio msaidizi?

Hakuna uislam kwenye Biblia utajichanganya tu. Uislam upo Kwenye Quran tu na umeanza miaka 600 baada ya kuwepo Ukristo(achia mbali Wakati wa torati)
Hauwezi mshawishi wala kumwelewesha yoyote kwamba eti! Muhammad ndie msaidizi, ni kitu ambacho hakipo.
 
Basi kama uislam umeanza miaka 600 lakini Biblia inahubiri uislam. Soma vizuri maandiko.
 
Binaadam gani akifa na roho yake inakufa?
 
Hata kamasina akili, hilo halithibitishi kwamba Mungu yupo.

Zaidi, linaonesha Mungu hayupotu.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba ulimwengu ambao una kiumbe asiye na akili.
Hahahahahaha... duh!
 
Basi kama uislam umeanza miaka 600 lakini Biblia inahubiri uislam. Soma vizuri maandiko.
Biblia haijawahi kuhubiri ukristo. Biblia imetaja wasiwasi kwamba yuaja Mpinga Kristo. Huyo mpinga Kristo kama Muhammad na Uislam ni nani.
 
Biblia haijawahi kuhubiri ukristo. Biblia imetaja wasiwasi kwamba yuaja Mpinga Kristo. Huyo mpinga Kristo kama Muhammad na Uislam ni nani.
Toa andiko kwenye bibia mpinga kristo ni Muhammad...
 
Mkuu maelezo mazuri, ila bila shaka huyu hakuwa Nathan bali samweli, maelezo yako mengine yote yako sawa.
 
Unatishaaa mkuu!
 
Basi kama uislam umeanza miaka 600 lakini Biblia inahubiri uislam. Soma vizuri maandiko.
Mimi ni mtu ninaeamini kwamba Uislam una Mungu wake na Ukristo una Mungu wake. Na hio imani kwangu ni kama 3.14.

Na ndio maana nikauliza kama Mungu anatumia logic ya kwamba mnyama aliepasuliwa kwato na hacheui ni najisi, vilevile anaecheua ila hakupasuliwa kwato pia ni najisi. Ni logic ipi aliotumia kumuhalalisha ngamia kwenye Uislam kwamba ni halali?

Kusema kweli huyu Mungu kama ni mmoja anaefanya haya magirini itabidi akafanyiwe IQ test Kama mwanajukwaa mwenzetu Gudume atakuwa na hicho kipimo.

Uislam ni dini yenye uelekeo wake na haina hata alama moja kwenye biblia.
 
Slma Marko 1:2-12 utapata jibu Ngamia kwa nini ni halali.....
 
Wewe Yesu Sio Mungu, Mungu Mkuu Ni Yehova Zaburi 83:18
Sasa tushike lipi? Mbona maandiko yanatuchanganya? Hilo la Mungu mkuu ni Tito 2:13 sasa leo tena Yehova ni Zaburi 83:18!
 
Marko inamwongelea Ngamia. Soma viUri maandiko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…