Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 1,585
- 1,546
Labda wewe ungetakiwa kuweka bidii ya kuelewa Quran maana nina hakika unahazina ya mapungufu usioyaelewa ya Ukristo kuliko Aya za Allah Sabhana WataalahQuran ukiisoma kwa kuielewa huwez ukaendelea kuamini Mungu -mtu, ukaamini kuna mtu ame 'pay for your sins kwa hiyo unaweza fanya dhambi yoyote!