Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

Quran ukiisoma kwa kuielewa huwez ukaendelea kuamini Mungu -mtu, ukaamini kuna mtu ame 'pay for your sins kwa hiyo unaweza fanya dhambi yoyote!
Labda wewe ungetakiwa kuweka bidii ya kuelewa Quran maana nina hakika unahazina ya mapungufu usioyaelewa ya Ukristo kuliko Aya za Allah Sabhana Wataalah
 
Nazingatia post [HASHTAG]#346[/HASHTAG]
Nilitaka nikusaidie kwamba wewe unaimani kwamba Mungu ni mmoja! Hili hukunijibu ila Umeenda mbele tu. Yaani Mungu wa Ukristo atuletee Muhammad kwamba ndio msaidizi?

Hakuna uislam kwenye Biblia utajichanganya tu. Uislam upo Kwenye Quran tu na umeanza miaka 600 baada ya kuwepo Ukristo(achia mbali Wakati wa torati)
Hauwezi mshawishi wala kumwelewesha yoyote kwamba eti! Muhammad ndie msaidizi, ni kitu ambacho hakipo.
 
Nazingatia post [HASHTAG]#346[/HASHTAG]
Nilitaka nikusaidie kwamba wewe unaimani kwamba Mungu ni mmoja!!! Hili hukunijibu ila Umeenda mbele tu,,, Yaani Mungu wa Ukristo atuletee Muhammad kwamba ndio msaidizi????

Hakuna uislam kwenye Biblia utajichanganya tu...Uislam upo Kwenye Quran tu na umeanza miaka 600 baada ya kuwepo Ukristo(achia mbali Wakati wa torati)
Hauwezi mshawishi wala kumwelewesha yoyote kwamba eti!! Muhammad ndie msaidizi....ni kitu ambacho hakipo.
Basi kama uislam umeanza miaka 600 lakini Biblia inahubiri uislam. Soma vizuri maandiko.
 
Wewe ni mkristu jina ambaye hujatambua mafundisho msingi ya dini yako, katika ukristo kuna fumbo la utatu mtakatifu, yaani mungu mmoja katika nafsi tatu. Kwa Yesu ilikuwa ni Mungu kujidhihirisha kwetu katika umbo la mtu, hata alivyokufa roho yake ilibaki kuwa hai na haikufa. Pia injili ya John inatamka wazi kuwa Yesu ni Mungu.
Binaadam gani akifa na roho yake inakufa?
 
Hata kamasina akili, hilo halithibitishi kwamba Mungu yupo.

Zaidi, linaonesha Mungu hayupotu.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba ulimwengu ambao una kiumbe asiye na akili.
Hahahahahaha... duh!
 
Basi kama uislam umeanza miaka 600 lakini Biblia inahubiri uislam. Soma vizuri maandiko.
Biblia haijawahi kuhubiri ukristo. Biblia imetaja wasiwasi kwamba yuaja Mpinga Kristo. Huyo mpinga Kristo kama Muhammad na Uislam ni nani.
 
Biblia haijawahi kuhubiri ukristo. Biblia imetaja wasiwasi kwamba yuaja Mpinga Kristo. Huyo mpinga Kristo kama Muhammad na Uislam ni nani.
Toa andiko kwenye bibia mpinga kristo ni Muhammad...
 
Kutokans na upotoshaji huo wa Shetani ndio maana hata Mfalme Sauli alimuendea yule mama mchawi wa Endor akimuomba amuinulie Nathan Nabii. Ni kweli yule mama mchawi wa Endor alimuinua 'Nathan' na aliweza kumtabiria Sauli kuwa yeye na watoto wake wangekufa kesho yake. Jambo hilo ni kweli lilitokea kwani Sauli aliuawa yeye na Watoto wake kama vile 'Nathan'alivyomtabiria.

Hata hivyo ambacho Mfalme Sauli hakufahamu ni kuwa yule aliyemuona hakuwa Nathan bali ni roho wa Shetani aliyevaa umbo la Nathan. Nabii Nathan alishakufa kitambo na pia roho wa Bwana alishamuacha Sauli.
Mkuu maelezo mazuri, ila bila shaka huyu hakuwa Nathan bali samweli, maelezo yako mengine yote yako sawa.
 
Ukisema huna uhakika hiyo haifanyi jua lisichomoze kesho,kwa maana linaweza likachomoza au lisichomoze. Na hivyo hivyo hata kama watu wanaoamini mungu kushindwa kuthibitisha haifanyi kuwa hakuna mungu,hivyo kama mungu yupo basi yupo tu na kama hayupo basi hayupo.

Sasa wewe umeshindwa kuthibitisha kuwa jua litachomoza kesho lakini hiyo haifanyi usiamini kuwa jua halitachomoza kesho ila wewe unaona hawawezi kuthibitisha kuwepo kwa mungu hivyo ni uthibitisho kuwa mungu hayupo.
Unatishaaa mkuu!
 
Basi kama uislam umeanza miaka 600 lakini Biblia inahubiri uislam. Soma vizuri maandiko.
Mimi ni mtu ninaeamini kwamba Uislam una Mungu wake na Ukristo una Mungu wake. Na hio imani kwangu ni kama 3.14.

Na ndio maana nikauliza kama Mungu anatumia logic ya kwamba mnyama aliepasuliwa kwato na hacheui ni najisi, vilevile anaecheua ila hakupasuliwa kwato pia ni najisi. Ni logic ipi aliotumia kumuhalalisha ngamia kwenye Uislam kwamba ni halali?

Kusema kweli huyu Mungu kama ni mmoja anaefanya haya magirini itabidi akafanyiwe IQ test Kama mwanajukwaa mwenzetu Gudume atakuwa na hicho kipimo.

Uislam ni dini yenye uelekeo wake na haina hata alama moja kwenye biblia.
 
Mimi ni mtu ninaeamini kwamba Uislam una Mungu wake na Ukristo una Mungu wake...Na hio imani kwangu ni kama 3.14...

,Na ndio maana nikauliza kama Mungu anatumia logic ya kwamba mnyama aliepasuliwa kwato na hacheui ni najisi .........vilevile anaecheua ila hakupasuliwa kwato pia ni najisi.........
Ni logic ipi aliotumia kumuhalalisha ngamia kwenye Uislam kwamba ni halali?????

Kusema kweli huyu Mungu kama ni mmoja anaefanya haya magirini itabidi akafanyiwe Iq test Kama mwanajukwaa mwenzetu Gudume atakuwa na hicho kipimo............

Uislam ni dini yenye uelekeo wake na haina hata alama moja kwenye biblia.
Slma Marko 1:2-12 utapata jibu Ngamia kwa nini ni halali.....
 
Back
Top Bottom