Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,166
- 3,077
Wewe ndio huna akili hata moja, Kama unazo prove it logicallyWa Buddhist hawaamini hivyo.
Wakristo wanaamini Yesu ni Mungu, Waislamu hawaamini hivyo.
Toa jibu ambalobhaliwezibkuwa contradicted. Biblia inaweza kuwa contradicted.
Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?