Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

Roho ni nini? inaenda wapi baada ya kufa?

Wa Buddhist hawaamini hivyo.

Wakristo wanaamini Yesu ni Mungu, Waislamu hawaamini hivyo.

Toa jibu ambalobhaliwezibkuwa contradicted. Biblia inaweza kuwa contradicted.

Kama Mungu yupo, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, Mungu huyu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao mabaya hayawezekani, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana?
Wewe ndio huna akili hata moja, Kama unazo prove it logically
 
Wewe ndio huna akili hata moja, Kama unazo prove it logically
Hata kamasina akili, hilo halithibitishi kwamba Mungu yupo.

Zaidi, linaonesha Mungu hayupotu.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba ulimwengu ambao una kiumbe asiye na akili.
 
Sasa hivi, na hao wote waliokufa na kuumia vibaya sana kabla je?

Mungu kwa nini kachia muda wote huo wafe kwa ukatili sana wakati alikuwa na uwezo wote,ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao hauna ubaya wowote?
Mimi Naweza sema hata tetemeko sio jambo baya maana ni movement ya miamba huko chini, halitokei kwa ajili ya kuua binadamu ni adjustment tu huko ardhini, magonjwa ni kwa sababu ya uchafu na kutozingatia kanuni, na pia hata ukiangalia tunavyoita ni shida ni kwa sababu ya uelewa Mdogo kuhusu hilo jambo.

Mungu ametupa uwezo kumudu mazingira yote.
 
Mimi Naweza sema hata tetemeko sio jambo baya maana ni movement ya miamba huko chini,,halitokei kwa ajili ya kuua binadamu ni adjustment tu huko ardhini,,magonjwa ni kwa sababu ya uchafu na kutozingatia kanuni,,na pia hata ukiangalia tunavyoita ni shida ni kwa sababu ya uelewa Mdogo kuhusu hilo jambo..Mungu ametupa uwezo kumudu mazingira yote.
Hujajibu swali.

Kama shida ni kitu cha kufikirika tu, kwa nini kuleta shida kwa mwingine vitabu vyenu vinasema ni dhambi inayohukumiwa na mungu?

Kwa nini Mungu atoe hukumu kwa kitu cha kufikirikatu kisicho na uhalisi?
 
Kwanini Mungu mjuzi wa yote mwenye uwezo wote na ujuzi wote atengeneze shida na solution? Kwa nini asitengeneze ulimwengu ambao hauna shida?

Kisha, solution ya kifo ni nini? Kifo ni shida inayotenganisha wanaopendana, hawapendi kutenganishwa ndiyo maana wanalia kwenye misiba.

Solution ya kuzui kifo ni nini?
Mungu amempa binadamu akili ya kusolve problem, hii ni sifa nzuri kama kusingekuwa na changamoto kusingekuwa na haja ya binadamu kupewa akili na maamuzi. Kusolve problem ni part and parcel ya kupewa ubongo. Huwezi kuiita task yako kwamba ni shida.

Kifo sio shida wala tatizo kimetokea kwa sababu binadamu aende sehemu ambayo haina changamoto tena, na pia kizazi chake kiendelee kutunza dunia na kuyatawala mazingira.
 
Hujajibu swali.

Kama shida ni kitu cha kufikirika tu, kwa nini kuleta shida kwa mwingine vitabu vyenu vinasema ni dhambi inayohukumiwa na mungu?

Kwa nini Mungu atoe hukumu kwa kitu cha kufikirikatu kisicho na uhalisi?
Hebu nipe mfano wa shida ninayoweza kuileta kwa mwingine..
 
Hata kamasina akili, hilo halithibitishi kwamba Mungu yupo.

Zaidi, linaonesha Mungu hayupotu.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote asingeumba ulimwengu ambao una kiumbe asiye na akili.
Yani hapo ndio unathibitisha ili ndonga amna kitu,

Ushaambiwa imani ni kubwa kuliko sayansi, lakini unakomaa tu et prove .

Ushawahi kufanya mediation ?Kama bado kafanye utajifunza kitu

Unajua Kama kuna kifo, je ushawah kujiuliza mechanism ya kifo ikoje?

Ushawahi kujua binadamu alitoka wapi?

Huu ulimwengu unatawaliwa na nguvu mbili, nuru na Giza .sasa hapo wewe jitafutie kundi lako
 
Hebu nipe mfano wa shida ninayoweza kuileta kwa mwingine..
Ukimuua mtu umeiletea shida familia yake, itatakakuwa na baba yao kwa mfano, itashindwa kuwa naye.

Unahukumiwa kwakuua, kuua ni dhambi.

Kama shida ni kitu cha kufikirikatu, kwa nini ukiua unahukumiwa?

Kwa nini kuua ni dhambi?

Unaweza kuniruhusu nikuue au nikuchome moto? Kwa sababu shida ni kitu cha kufikirika tu?
 
Kama wanasayansi wanaweza kuset vitu vikawa automatic, iweje Mungu ashindwe? nadhan Mungu ashaweka uumbaji wake ktk automatic system pengine now anaumiza kichwa(sorry God has no any example) afanye nin kipya ktk creativity yake...
God need no creativity any more, He accomplished one of the greatest thing in man which is MIND, na kutoka hapo tusoma profile za watu waliovumbua vitu mbalimbali, ila they could not do so without MIND.
 
Kwa sababu wewe na mimi tumepewa akili hatuwezi kuua kwa sababu kuuwa sio moja ya malengo katika kuyatawala na kuyaweza mazingira kiakili, ila kama Mimi nikiwa nauwa watu itakuwa akili yangu sio nzuri, either nizuiwe kuishi mazingira ya kawaida na wengine au nitatakiwa nife ili niwaache wanaoishi katika lengo la kuyamudu na kuyatawala mazingira yanayowazunguka.
 
Yani hapo ndio unathibitisha ili ndonga amna kitu,

Ushaambiwa imani ni kubwa kuliko sayansi, lakini unakomaa tu et prove .

Ushawahi kufanya mediation ?Kama bado kafanye utajifunza kitu

Unajua Kama kuna kifo, je ushawah kujiuliza mechanism ya kifo ikoje?

Ushawahi kujua binadamu alitoka wapi?

Huu ulimwengu unatawaliwa na nguvu mbili, nuru na Giza .sasa hapo wewe jitafutie kundi lako
Hujajibu swali.

Kamakuna Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, mwenye upendo wote, alikuwa na uwezowakuumba ulimwengu vyovyote alivyotaka, aliwezakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kuwepo, hakuumba ulimwengu huo.

Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniilhali yeye ni mwenye uwezowote, ujuzi wote na upendo wote?

Hujajibu swali hili.
 
Siwezi jibu hili swali kwa huamini Kama kuna Mungu .labda tuanzie hapaa .KWANINI HUAMINI KAMA KUNA MUNGU
 
Hao ni wanaomuelezea Mkuu.

Yesu hawezi kuwa Mungu Mkuu. Mimi mwenyewe ni Mkristo lakini napingana na hilo mpaka kifo.

Mtu kutenda miujiza hakumfanyi kuwa Mungu. Kuwa na mambo ya ajabu hakumfanyi kuwa Mungu.

Yesu ni Binadamu kama walivyowanadamu wengine.

Usipotoke.
samahani! Wewe mkristo wa dhehebu gani ambao wanafundisha kuwa Yesu ni binadamu?
 
Anzeni kujibu maswali madogo madogo Hili kubwa litajijibu lenyewe... Mfano wa maswali madogo ni kama Kwanini mtoto wa binadamu akizaliwa hatembei na kuongea mara hiyo? Kwanini kuna Vichaa na watu walio changanyikiwa? Kwa nini binadamu wengi wanaota ndoto na wengine hawaoti? Kwanini binadamu augue Malaria? UKIMWI ni nini? Na mengine mengi.

Hili la Mungu ni Darasa la JUU sana, sana tu
 
Anzeni kujibu maswali madogo madogo Hili kubwa litajijibu lenyewe... Mfano wa maswali madogo ni kama Kwanini mtoto wa binadamu akizaliwa hatembei na kuongea mara hiyo? Kwanini kuna Vichaa na watu walio changanyikiwa? Kwa nini binadamu wengi wanaota ndoto na wengine hawaoti? Kwanini binadamu augue Malaria? UKIMWI ni nini? Na mengine mengi... Hili la Mungu ni Darasa la JUU sana, sana tu
Kweli
 
Sikumoja siku gani? Una hakika na hilo au unakisia tu kama unavyokisia kuwepo kwa Mungu?

Kwa hiyo Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambaouna mazuri tu, mabaya hayawezekanina unayajua mazuri?

Kama mabaya hayapo, kuna mazuri tu, kuna umuhimu gani wa kuyajua haya mazuri na si mabaya?
Kosa lako mkuu ni kutokujua Maandiko maana iko wazi kabisa kwamba hapo mwanzo ulimwengu ulikuwa hauna baya lolote hata kifo hakikuwepo na ndio maana Mungu alimuambia Adam kuwa siku utakapolishika hili tunda na kulila hakika utakufa(Mwanzo 2:16-17) na kifo kimeingia duniani baada ya mwanadamu kuasi sheria ya Mungu na kulila lile tunda la ujuzi wa mema na mabaya hivyo basi kifo sio mpango wa Mungu bali ni matokeo ya uasi wa mwanadamu dhidi ya sheria ya Mungu na kwanzia baada ya huo uasi dhidi ya sheria takatifu ya Mungu ndipo mwanadamu alipoanguka dhambini ule utukufu wa Mungu aliokuwa nao ukamtoka (Mwanzo 3:7) hapo ndipo wanadamu tukaanguka katika dhambi tukawa watumwa wa sheria ya dhambi na kifo yaani kiufupi ni kuwa wanadamu wote waliokuja ulimwenguni baada ya uasi wa Adamu na Hawa walijikuta chini ya sheria ya dhambi yaani kwao dhambi iko ndani yao wired in their genes na pia ni lazima wafe maana wazazi wao waliasi yaani Adamu na Hawa.

Kwa hiyo mabaya haya ulimwenguni si mpango wa Mungu bali ni matokeo ya Uasi wa mwanadamu dhidi ya sheria ya Mungu na ndio maana tunakufa mkuu na si vinginevyo.
 
Sikumoja siku gani? Una hakika na hilo au unakisia tu kama unavyokisia kuwepo kwa Mungu?

Kwa hiyo Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambaouna mazuri tu, mabaya hayawezekanina unayajua mazuri?

Kama mabaya hayapo, kuna mazuri tu, kuna umuhimu gani wa kuyajua haya mazuri na si mabaya?
Binadamu tumeumbiwa uhuru wa kuchagua na kutenda. Unaweza ukachagua kufanya ubaya au wema ila vyote vina matokeo yake.
 
Back
Top Bottom