Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Hahaah weee nimecheka sanaCc Donatila
Cc Demiss
Naona mnagoogle definition za roho na quotes za bible..mnatupanga hapa kwamba mpo deep spiritually...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaah weee nimecheka sanaCc Donatila
Cc Demiss
Naona mnagoogle definition za roho na quotes za bible..mnatupanga hapa kwamba mpo deep spiritually...
Nilkua nasubr unijbu na nukuu nyngne ya biblia[emoji106] [emoji106]Hakuna aliyesema yupo deep spirutually...
Moyo huko kifuani Mimi nazungumzia kitu kilichoko tumboni.Hiyo sio roho ni moyo
mkuu nazani wewe ni muelewa wa mambo nmepata kitu kutoka kwenye maelezo yakoROHO NI NINI
Hii ni miongoni mwa elimu ngumu sana katika kutolea maelezo. Lakini nitajotahidi kadiri nijuavyo lakini ajuaye zaidi ni Mungu.
Roho ya mtu huumbika (nurtured) sambamba na kuumbika kwa mwili wa mtu anapokuwa tumboni mwa mama yake yaani kama inavyojulikana mtu hadi awe kiumbe kamili huanza kutoka kwa baba kama tone la shahawa (sperms) ambapo katika shahawa moja ndipo hutokea mtu mmoja (naomba tusahau juu ya mapacha ili tuelewe kwa urahisi), hivyo roho huwemo ndani ya shahawa katika hali ya udhaifu (delicate and elusive) na wakati shahawa inapoingia kwenye ovary ya mwanamke ili irutubishwe kuwa kiumbe kamili hapo hapo pia roho iliyomo ndani ya shahawa nayo inarutubika sambamba na shahawa yenyewe pindi shahawa inapokuwa kiumbe kamili nayo roho inakuwa kamili na uhai unakuwa umekamilika, hivyo roho inaanzia kuwemo ndani ya shahawa na hukuzwa ndani ya tumbo la mama sambamba na kukuzwa kwa mwili mzima wa mtoto ndani ya tumbo la mama.
Basi ili tuweze kuifahamu roho inatupasa tutoe mifano ya vitu tunavyoishi navyo, Roho siyo sehemu ya mwili kama vile jicho au mkono au sikio nk, yalivyokuwa ni sehemu ya mwili lakini roho inayo mahusiano ya kiathari (cause and effect) na mwili mfano kama mtu atukanwe vibaya hapo moja kwa moja atapata maumivu katika roho na anaweza kutoka machozi kwa uchungu na utaona hayo machozi ni dalili kuwa mwili umepata athari halikadhalika kama mtu apewe mateso makali ya mwili athari itaenda kwenye roho kiasi kwamba mwili unakuwa si mahali pazuri kwa roho kukaa na hivyo roho huondoka na hatua hiyo tunaiita kifo, pia mtu anapofanya Ibada kwa vitendo (kimwili) anaipa athari za kiibada hiyo roho yake.
Kifupi ni kwamba roho imejificha ndani ya mwili kama vile moto ulivyojificha ndani ya njiti ya kiberiti, njiti ni njiti na moto ni moto wala havifanani lakini vinahusiana.
unaweza elezea katika muktadha wowote uwezao kulingana na majarida mbali mbali nauwezo wako wa kufikiria na ukajiridhisha bila chembe ya wasi kuwa hii ndiyo rohoo...Tuanzie hapo kwenye neno "viumbe" kwa maana nyingine mada yako inatakiwa kujadiliwa kiimani kwani unapozungumzia "viumbe" maana yake kuna "muumba" aliyeviumba ambaye kwa neno la jumla wanamwita Mungu. Kabla hatujaenda mbele, chagua mada yako ijadiliwe kwa imani ipi maana kuna imani nyingi kila moja ikiwa na mtazamo tofauti kuhusu "roho".
Naomba nifafanue tena kwanimkuu nazani wewe ni muelewa wa mambo nmepata kitu kutoka kwenye maelezo yako
1.ila kuna kitu kinaitwa emotion yani hizi ni feelings mtu anazopata kutokana na situation yeyote jinsi ubongo utakavo interprt kulingana na ushushu wa sensory organs eithr furaha,maumivu n.k kwa mfano ukipigwa unaumia...maumivu ni consiousns ya ubongo ili kuprotect tissue zisipate majeraha katika sehem uliojeruiwaa ila kwa maelezo unamaanisha maumivu yako rohoni je roho ni ubongo??...kiziwi akitukanwa hawezi kupata maumivu kwa sababu ubongo haujapewa taarifa ina maanisha kiziwi hana roho? au unaeza ukanieleza unaelewa nn unavyosikia neno emotion na inatofautiana vipi na roho ..?
hv huwa inamaanisha nn mtu akisema anaumwa na roho??
au roho ya mtu yule ni mbaya??
Hii kali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
umeandika kitu kikubwa sana kaka,ila watu wamekipuuzia.ROHO NI NINI
Hii ni miongoni mwa elimu ngumu sana katika kutolea maelezo. Lakini nitajotahidi kadiri nijuavyo lakini ajuaye zaidi ni Mungu.
Roho ya mtu huumbika (nurtured) sambamba na kuumbika kwa mwili wa mtu anapokuwa tumboni mwa mama yake yaani kama inavyojulikana mtu hadi awe kiumbe kamili huanza kutoka kwa baba kama tone la shahawa (sperms) ambapo katika shahawa moja ndipo hutokea mtu mmoja (naomba tusahau juu ya mapacha ili tuelewe kwa urahisi), hivyo roho huwemo ndani ya shahawa katika hali ya udhaifu (delicate and elusive) na wakati shahawa inapoingia kwenye ovary ya mwanamke ili irutubishwe kuwa kiumbe kamili hapo hapo pia roho iliyomo ndani ya shahawa nayo inarutubika sambamba na shahawa yenyewe pindi shahawa inapokuwa kiumbe kamili nayo roho inakuwa kamili na uhai unakuwa umekamilika, hivyo roho inaanzia kuwemo ndani ya shahawa na hukuzwa ndani ya tumbo la mama sambamba na kukuzwa kwa mwili mzima wa mtoto ndani ya tumbo la mama.
Basi ili tuweze kuifahamu roho inatupasa tutoe mifano ya vitu tunavyoishi navyo, Roho siyo sehemu ya mwili kama vile jicho au mkono au sikio nk, yalivyokuwa ni sehemu ya mwili lakini roho inayo mahusiano ya kiathari (cause and effect) na mwili mfano kama mtu atukanwe vibaya hapo moja kwa moja atapata maumivu katika roho na anaweza kutoka machozi kwa uchungu na utaona hayo machozi ni dalili kuwa mwili umepata athari halikadhalika kama mtu apewe mateso makali ya mwili athari itaenda kwenye roho kiasi kwamba mwili unakuwa si mahali pazuri kwa roho kukaa na hivyo roho huondoka na hatua hiyo tunaiita kifo, pia mtu anapofanya Ibada kwa vitendo (kimwili) anaipa athari za kiibada hiyo roho yake.
Kifupi ni kwamba roho imejificha ndani ya mwili kama vile moto ulivyojificha ndani ya njiti ya kiberiti, njiti ni njiti na moto ni moto wala havifanani lakini vinahusiana.
Wala hujakosea.WAtu kama nyie siku zote mpo. Hamfikirishi akili Bali mnavuta Kiti kusubiria wengine waje kuchangia. Hata kutoa definition ya roho kule Google kutuletea hapa UMESHINDWA. Ila kuvuta Kiti na kusoma michango ya wengine umeweza. Shubamitiiii!!
Ajielewi uyo muuza machungwa.Wala hujakosea.
Kwasababu napenda kujifunza ndio maana nimevuta KITI niketi ili nipate kujifunza kutoka kwa wenye kufikirisha AKILI zao, nikisoma Michango yao inatosha sana kwa Mimi kujifunza.
Sihitaji kufikirisha AKILI kwa kitu/jambo ambalo WADAU wengine wameshafikirisha AKILI.
Wewe mwenye kufikirisha AKILI mbona umeshindwa kufikirisha AKILI yako na kuleta JIBU hapa, na badala yake umeamua kunishambulia MIMI.!
Inashangaza sana!
Kifupi Roho ni (SPIRIT) ambayo kila kiumbe aliye Hai anayo.Wala hujakosea.
Kwasababu napenda kujifunza ndio maana nimevuta KITI niketi ili nipate kujifunza kutoka kwa wenye kufikirisha AKILI zao, nikisoma Michango yao inatosha sana kwa Mimi kujifunza.
Sihitaji kufikirisha AKILI kwa kitu/jambo ambalo WADAU wengine wameshafikirisha AKILI.
Wewe mwenye kufikirisha AKILI mbona umeshindwa kufikirisha AKILI yako na kuleta JIBU hapa, na badala yake umeamua kunishambulia MIMI.!
Inashangaza sana!
ROHO NI NINI
Hii ni miongoni mwa elimu ngumu sana katika kutolea maelezo. Lakini nitajotahidi kadiri nijuavyo lakini ajuaye zaidi ni Mungu.
Roho ya mtu huumbika (nurtured) sambamba na kuumbika kwa mwili wa mtu anapokuwa tumboni mwa mama yake yaani kama inavyojulikana mtu hadi awe kiumbe kamili huanza kutoka kwa baba kama tone la shahawa (sperms) ambapo katika shahawa moja ndipo hutokea mtu mmoja (naomba tusahau juu ya mapacha ili tuelewe kwa urahisi), hivyo roho huwemo ndani ya shahawa katika hali ya udhaifu (delicate and elusive) na wakati shahawa inapoingia kwenye ovary ya mwanamke ili irutubishwe kuwa kiumbe kamili hapo hapo pia roho iliyomo ndani ya shahawa nayo inarutubika sambamba na shahawa yenyewe pindi shahawa inapokuwa kiumbe kamili nayo roho inakuwa kamili na uhai unakuwa umekamilika, hivyo roho inaanzia kuwemo ndani ya shahawa na hukuzwa ndani ya tumbo la mama sambamba na kukuzwa kwa mwili mzima wa mtoto ndani ya tumbo la mama.
Basi ili tuweze kuifahamu roho inatupasa tutoe mifano ya vitu tunavyoishi navyo, Roho siyo sehemu ya mwili kama vile jicho au mkono au sikio nk, yalivyokuwa ni sehemu ya mwili lakini roho inayo mahusiano ya kiathari (cause and effect) na mwili mfano kama mtu atukanwe vibaya hapo moja kwa moja atapata maumivu katika roho na anaweza kutoka machozi kwa uchungu na utaona hayo machozi ni dalili kuwa mwili umepata athari halikadhalika kama mtu apewe mateso makali ya mwili athari itaenda kwenye roho kiasi kwamba mwili unakuwa si mahali pazuri kwa roho kukaa na hivyo roho huondoka na hatua hiyo tunaiita kifo, pia mtu anapofanya Ibada kwa vitendo (kimwili) anaipa athari za kiibada hiyo roho yake.
Kifupi ni kwamba roho imejificha ndani ya mwili kama vile moto ulivyojificha ndani ya njiti ya kiberiti, njiti ni njiti na moto ni moto wala havifanani lakini vinahusiana.
Bila shaka wewe utakuwa na tatizo la ufahamu lililokuwa kubwa sana na dawa yake ni elimu. Labda nikuulize hivi wewe una akili? Kama unazo thibitisha uwepo wa akili hizo.Mungu hayupo thibitisha uwepo wake.