Tumia chumvi lakini pia nyota yako imevutwa na yake ndio maana yeye kasimama zaidi na wewe umetingishwaBro Mshana umeongelea swala la kuibiwa nyota nimekumbuka kitu. Mimi nilikuwa ni mtu mwenye bahati sana miaka ya nyuma yaani nazungumzia bahati ya kupendwa na watu, ya kushinda bahati nasibu bahati ya maisha yani maisha yalikuwa yamenyooka. ila tangu nikutane na baba wa mtoto wangu wa kwanza (sasa hivi nimeolewa na mtu mwingine) mambo yangu yakaanza kuharibika kila nifanyalo haliendi madeni yakaanza alafu yeye maisha yake ndo yamekuwa mazuri wakati mwanzo hayakuwa hivyo, najiuliza ameniibia nyota yangu? na je nikitumia chumvi kuoga itarudi?
Tumia chumvi lakini pia nyota yako imevutwa na yake ndio maana yeye kasimama zaidi na wewe umetingish
Asante. duh kumbe nyota inaweza kuvutwa tu from nowhere. sasa je kama imevutwa ndo itakuwa hivyo milele? au kwa kutumia chumvi nitarudi kwenye hali ya zamani?Tumia chumvi lakini pia nyota yako imevutwa na yake ndio maana yeye kasimama zaidi na wewe umetingishwa
Kwingine konge utapigwa chumvi itaweka kila kitu sawaAsante. duh kumbe nyota inaweza kuvutwa tu from nowhere. sasa je kama imevutwa ndo itakuwa hivyo milele? au kwa kutumia chumvi nitarudi kwenye hali ya zamani?
shukran mkuu. ngoja nianze kuoga chumvi duuh i wish ningejua kitamboKwingine konge utapigwa chumvi itaweka kila kitu sawa
Upungufu wa kinga za kiroho
Wengi tunapoongelea neno KINGA tunapeleka mawazo yetu moja kwa moja kwenye mipira ya kufanyia ngono yaani kondomu. Lakini wengine watadhani ni kinga dhidi ya maradhi ama kinga dhidi ya ajali barabarani na wezi majumbani huku wachache wakiwaza kinga dhidi ya watoto nknk. Akitokea mmoja...www.jamiiforums.com
Upungufu wa kinga za kiroho
Asante. duh kumbe nyota inaweza kuvutwa tu from nowhere. sasa je kama imevutwa ndo itakuwa hivyo milele? au kwa kutumia chumvi nitarudi kwenye hali ya zamani?
Mkuu sasa roho ya kukataliwa km ile ya maskini unaitaka ya nini??Asante ila naona unataka tuitafsiri Biblia kama novel na si kitabu kitakatifu chenye tafsiri za kiroho.. Nimekuwekea vifungu hivyo kama njia ya kupanua ufahamu... Vipo vingi kama chumvi ilitumika kutengeneza vingine kwanini isitumike kwenye maji?
Bado naomba niseme kuwa inawezekana kabisa hujaelewa dhana nzima ya uchawi na jinsi unavyofanya kazi... Kuogea maji ya chumvi sio uchawi ndugu yangu
tu.roho km ya jiwe huyo anikatae tu.make utaishi kwa mashaka sana.Mkuu sasa roho ya kukataliwa km ile ya maskini unaitaka ya nini??
Saaana atakuibia tu. Shida nyiiingi kulialia tuuu!! Mimi bana wa hivi wanikatae tu.roho km ya jiwe huyo anikatae tu.make utaishi kwa mashaka sana.
Tunataka roho zile nzuri mnooo!! Za Km queen elizabeth. Bush family za kukubaliwa zile za matajiri hasa wa ukoo!! Km Rockfella family.
Hapo sawa! Nitakuekewa!
Kama chumvi na mchawi ni paka na panya? Nina maswali mawili yananipasua sana Ubongo wangu?.... Naandika ugoro mtupu.... Naona huufahamu ulimwengu wa giza vizuri... Chumvi na mchawi ni vitu viwili tofauti kabisa na pia kumbuka Bwana Yesu alitumia chumvi hiyo hiyo kutakasa na hata maji ya baraka yanatengenezwa kwa kutumia chumvi ingia hapa kwa elimu zaidi.... jinsi ya kuchaji maji
Kwanza wachawi hawapiki vyakula vyao na hata kama ni kwa mganga ukipewa chakula chumvi yake ni ya mbaliKama chumvi na mchawi ni paka na panya? Nina maswali mawili yananipasua sana Ubongo wangu?
1. Kama chumvi na mchawi vitu viwili tofauti kabisa, je chakula cha wachawi huwa hakina chumvi?
2. Wachawi wanafahamika kwamba wanapenda sana kula nyama ya binadamu.
Lakini nyama ya binadamu inasifika sana kuwa ndiyo nyama yenye chumvi kutokana na nature ya vyakula vya mwanadamu kuwa high concentration of salt level ukilinganisha na wanyama wengine, je hii imekaa vp?
Vyakula vya wachawi ni damu na nyama.. Chumvi ya kwenye nyama ya ni binadamu ni tofauti na chumvi halisi.. Huwezi ku extract nyama upate chumvi labda mafuta.. Hata hivyo nyama ya binadamu haina chumvi kihivyo.. Usiniulize nimejuaje[emoji2]Kama chumvi na mchawi ni paka na panya? Nina maswali mawili yananipasua sana Ubongo wangu?
1. Kama chumvi na mchawi vitu viwili tofauti kabisa, je chakula cha wachawi huwa hakina chumvi?
2. Wachawi wanafahamika kwamba wanapenda sana kula nyama ya binadamu.
Lakini nyama ya binadamu inasifika sana kuwa ndio nyama yenye chumvi kutokana na nature ya vyakula vya mwanadamu kuwa na high concentration of salt level ukilinganisha na wanyama wengine, je hii imekaa vp?
Unaweza kufanikiwa kibiashara kwa bahati?Unahitajika uwe na viwili kati ya vitatu
Kipawa
Bahati/ngekewa
Juhudi/kujituma/nidhamu
Naomba nikuulize kitu PMNdio kuna watu wamezaliwa na bahati kwenye kila kitu