Tiba zipo lakini kwanza ni lazima kujua chanzo na asili ya tatizo.. Maradhi ya kiroho hayana tofauti na maradhi ya kimwili ... ! Ni muhimu na ni lazima kujua tatizo ninini na limesababishwa na nini ndio upate tiba kulingana na tatizo husika.Mshana Jr nahic kuna kitu hukiweki wazi hapa na sijui kwa nini,
Binafsi naamini zipo dawa za kufungua magonjwa ya ushirikina na mtu akapona kbs.
Ingawa angalizo kwa hawa wataalamu wengi wao ni wapuuzi mno na wenye tamaa za ajabu ajabu, ndio problem maker and problem solver.
Sawa mkuu,Tiba zipo lakini kwanza ni lazima kujua chanzo na asili ya tatizo.. Maradhi ya kiroho hayana tofauti na maradhi ya kimwili ... ! Ni muhimu na ni lazima kujua tatizo ninini na limesababishwa na nini ndio upate tiba kulingana na tatizo husika
Kwenye tiba za kiroho wengi wanafeli kwakuwa wanakuwa hawana ufahamu na kutosha na asili ya tatizo hivyo hutibu kwa kubahatisha tuu
Naomba fafanua kdgInategemea kakutibu kwa kutumia nini
Tiba ambazo ni salama hapo ni zipi?Kuna tiba za asili/mitishamba
Kuna tiba za maombi na dua
Kuna tiba za kisuna
Kuna tiba za kitabu
Kuna tiba za tunguli
Kuna tiba za majini mizimu na kafara
Sema tu kama ulikula mkuuVyakula vya wachawi ni damu na nyama.. Chumvi ya kwenye nyama ya ni binadamu ni tofauti na chumvi halisi.. Huwezi ku extract nyama upate chumvi labda mafuta.. Hata hivyo nyama ya binadamu haina chumvi kihivyo.. Usiniulize nimejuaje[emoji2]
Mwanadamu hana milango mitano ya fahamu na ulimi ndiyo mlango pekee wa Mwanadamu ambao unahusika na utambuzi wa ladha mbalimbali za vyakula kupitia njia ya mdomo.Kuna namna nyingi ya kujua ladha ya kitu
Kuna tiba za asili/mitishamba
Kuna tiba za maombi na dua
Kuna tiba za kisuna
Kuna tiba za kitabu
Kuna tiba za tunguli
Kuna tiba za majini mizimu na kafara
Milango ya fahamu ni sita sio mitano. Wa sita ni invisible.Mwanadamu hana milango mitano ya fahamu na ulimi ndiyo mlango pekee wa Mwanadamu ambao unahusika na utambuzi wa ladha mbalimbali za vyakula kupitia njia ya mdomo.
Je, uliwezaje kujua ladha ya chakula bila kuonja kwa kupitia njia ya mdomo?
Ngoja ntaitafuta niondoe gunduYa ma we tu mkuu
1. Ni tiba ya kishirikina1 Naomba kuuliza hivi tiba ya kurushiwa nafaka hii inakuwaje.
2 Kisomo cha kuambiwa uelekee kibla na wasomaji wakiwa nyuma yako inakuwaje.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Can you tell me a little bit about that Human Invisible Sense Organ?Milango ya fahamu ni sita sio mitano.. Wa sita ni invisible