Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Kabisa yaaniWatu Wa namna hiyo wapo. Yaani wanakuwa over concerned kuhusu maisha yako, wanatamani yaani ufanikiwe ili mioyo yao ifurahi.. Kiufupi anakupenda na anashindwa kujizuia kukufuatilia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yaaniWatu Wa namna hiyo wapo. Yaani wanakuwa over concerned kuhusu maisha yako, wanatamani yaani ufanikiwe ili mioyo yao ifurahi.. Kiufupi anakupenda na anashindwa kujizuia kukufuatilia
Ni kweli kabisa mkuuShauri yake..
Mi binafsi ukiniuliza mambo yangu private ukimuondoa mamaangu, nakaa na we mbali
Upo dyadya? Mis uWewe Kama nafsi yako inataka kukaa mbali nae fanya ivyo...heri ya wali nyama kuliko walimwengu.
The best commentJirekebishe wewe binafsi,achana na imani za wananzengo shangazi yako ana upendo wa kweli juu yako,
Akikuuliza mjibu ili nafsi yake pia ifurahi na usimfiche maana pia aweza kuwa anakuombea juu ya kazi za mikono yako na malengo yako kwa ujumla
Nipo kipenzi.. miss u tooUpo dyadya? Mis u
Amini hivyo mkuu ndiyo maana wakasema damu nzitoHapa kuna cha kujifunza. Hivi watu damu zikiendana unakuta wanaelewana sana?
Ufahamu wangu mdogo kuhusu sisi waswahili, ndg yetu mtoa mada tayari yupo kwenye habari za ushirikina.......anahisi anonewa kijicho na huyo shangazi yake. Kwamba 'si bure kumfuatilia huko, lazima kuna namna (anataka kumroga asiendelee)'!Sijaelewa kabisa
Aliyeelewa MSAADA tafadhari
Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo zimefanya roho yangu ianze kumkataa.
Kila mwezi atanipigia simu, hili la kunipigia simu sina shida nalo, Maana hata mm huwa nampigiaga simu.
TATIZO LINAPOANZIA:
Kila nikiongea naye kwenye simu, ananiuliza maswali ambayo mara nyingi mm binafsi sipo huru (comfortable) Kuyajibu daaah..
1)Kila akinipigia simu lazima aniulize nipo wapi, nikikwepesha kumjibu atanisisitiza mpaka nimwambie niko wapi..
2)Nikimwambia napigaa mishe za kilimo, simu zitakazofuata ataniuliza mara nne nne kilimo kiliendaje.
3)Muda mwingine ananiuliza kama biashara nilizofungua bado zipo
4)Kila akinipigia ananiuliza kazi nlizo-apply zimeendaje
Kutokana na hayo maswali hapo juu, yani nimeanza kujitenga naye kimya kimya mpaka yeye Kuna siku aliniuliza mbona najitenga nae, ila nahic hajajua kwanini namkwepa, ila in general shangazi yangu tangu nimfahamu amekuwa ni mtu mkarimu Sana kwangu.
Huyu shangazi yangu Huwa anasema baadhi ya ndugu Zake wengine hawapokeagi simu zake, nahisi ni kwasababu ya hii tabia yake ya kuuliza maswali.
Labda mm ndio nina tatizo, Wenye uzoefu naombeni mnipe mawazo yenu kwenye hili, ili kama nina makosa nijirekebishe
Sisemi shangazi yako ana changamoto ila nina babu yangu kiukoo ,nimefahamiana naye ukubwani ni mtu anajihusisha na uganga wa kienyeji maswali yake ni kama hayo unayopata toka kwa shangaziNi ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa nashinda kwake miezi mingi kabla ya kwenda home, ila kipindi cha hivi karibuni amekua na tabia ambazo zimefanya roho yangu ianze kumkataa.
Kila mwezi atanipigia simu, hili la kunipigia simu sina shida nalo, Maana hata mm huwa nampigiaga simu.
TATIZO LINAPOANZIA:
Kila nikiongea naye kwenye simu, ananiuliza maswali ambayo mara nyingi mm binafsi sipo huru (comfortable) Kuyajibu daaah..
1)Kila akinipigia simu lazima aniulize nipo wapi, nikikwepesha kumjibu atanisisitiza mpaka nimwambie niko wapi..
2)Nikimwambia napigaa mishe za kilimo, simu zitakazofuata ataniuliza mara nne nne kilimo kiliendaje.
3)Muda mwingine ananiuliza kama biashara nilizofungua bado zipo
4)Kila akinipigia ananiuliza kazi nlizo-apply zimeendaje
Kutokana na hayo maswali hapo juu, yani nimeanza kujitenga naye kimya kimya mpaka yeye Kuna siku aliniuliza mbona najitenga nae, ila nahic hajajua kwanini namkwepa, ila in general shangazi yangu tangu nimfahamu amekuwa ni mtu mkarimu Sana kwangu.
Huyu shangazi yangu Huwa anasema baadhi ya ndugu Zake wengine hawapokeagi simu zake, nahisi ni kwasababu ya hii tabia yake ya kuuliza maswali.
Labda mm ndio nina tatizo, Wenye uzoefu naombeni mnipe mawazo yenu kwenye hili, ili kama nina makosa nijirekebishe
Tabia hizo inaonyesha anapenda kuharibu maendeleo ya watu, atakuwa anajaribukukufatilia kwa njia za giza na akishindwa anakuuliza ili afanye yake. Usishangae kwanini wengine wanamkimbia, itakuwa wamegundua kitu juu yake.
Endelea kukaa nae mbali, muhimu usimueleze issue zako zozote. Watu kama hao wanapenda kusikia mtu ana matatizo tu. Usiongee yako hata kwa watu wa karibu nae asiyasikie, ndio maana wengi tunafanya yetu na kunyamaza baada yanaonekana tu kama wakiyaona. Usimruhusu akaja kwako leo hata mbeleni.
Sali pia
Kumbe ukweli unaujua kabisa...mwanga huyoHahaha Umejuaje ana tabia ya kupenda kusikia Mtu ana matatizo, hlf umenikumbusha, mm huyu aunt yangu ni mwaka wa 9 huu sijawahi kumuombaga hela, sanasana ikitokea event za kifamilia saa ingine mm nachangia pesa nyingi kiasi..
1)Sasa kwenye maongezi, Nsipoenda kwake ataniambia mbona huji, huna nauli, biashara hazikuingizii hela?
2)Siku ingine ataniambia maisha magumu, huenda ipo siku nitaenda Kwake mimi na mke wangu nimwambie tuna siku tatu hatujala (Sijaoa)
3) Siku fulani aunt akaniambia kuna kipindi ulikua unagawa pesa, tukasema huyu hajui kama Hizo pesa zitakuja kuisha..
Mmmh ingawa alivoniambia ni uhalisia wa maisha lkn nikasema huyu mtu mbona imagination zake kwangu ziko negative Keenly witnessj Niwaheri