Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Cha kuchekesha Waziri wa majeshi ya Israel analia huko anaomba US na Nato wafanye kila njia kuzuia Iran wasiwapige 😄Irone dome Moaada Idf na israhell ukizisikia kwenye MSM na kwa wachafuzi wa hapa JF unaweza kuogopa ila uhalisia wao sasa yaani hovyo kabisaaa
Hilo taifa la mchongo hata kujilinda lenyewe haliweziCha kuchekesha Waziri wa majeshi ya Israel analia huko anaomba US na Nato wafanye kila njia kuzuia Iran wasiwapige 😄
View: https://youtu.be/HOHTP0EdLBo?si=BQShCfRbgPbySm6i
Utajinyea amka uwahi chooni we ndeziIsrael huwa anakuzwa na viongozi wa kiarabu tu na kulindwa na US na UK pamoja na Europe kama sio hao hata Hamas humuwezi.
Mimi nijinyee we unadhani wote tuko kama wewe.Utajinyea amka uwahi chooni we ndezi
Hivi vikristo vijinga sana aisay, kupigana na Hamas kashindwa mpaa leo hajashinda lna anasaidiwa na US, UK, France, Germany., Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia, Morocco na etc, Israel hata jeshi la Lesotho haliwezi 😄Hilo taifa la mchongo hata kujilinda lenyewe haliwezi
Nimemskia leo alivyokua anabweka bweka
Nanaona hapa kina german uk ital nk wameapa kuikingia kifua israhell ikiwa itashambuliwa
Halafu kuna wajinga wanatuona sisi wajinga wenzao wanasema hako kataifa chakutungwa kalipigana na mataifa ya kiarabu kwa siku sita na kakashinda eti teh teh teh
Hongereni sana waislam kwa kuwashinda wakristo,proud to be a spiritual man!Hivi vikristo vijinga sana aisay, kupigana na Hamas kashindwa mpaa leo hajashinda lna anasaidiwa na US, UK, France, Germany., Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia, Morocco na etc, abda hata jeshi la Lesotho haliwezi 😄
Nani kakuambia tunapigana vita vya dini, nyie ndio mnaleta udini eti Israel taifa teule labda taifa uharoHongereni sana waislam kwa kuwashinda wakristo,proud to be a spiritual man!
Israhell bila ya mashoga zake muda huu hamas wangekua wanasali pale Al AqsaHivi vikristo vijinga sana aisay, kupigana na Hamas kashindwa mpaa leo hajashinda lna anasaidiwa na US, UK, France, Germany., Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia, Morocco na etc, abda hata jeshi la Lesotho haliwezi 😄
Kwa hiyo Allah nae ni Uharo pia hahaha maana nae alisema Israel ni Taifa lililopendelewa kuliko yote...Nani kakuambia tunapigana vita vya dini, nyie ndio mnaleta udini eti Israel taifa teule labda taifa uharo
Nme ona twitter iron dome zime fail kabsa .makombora wame shushiwa asee
View: https://x.com/WarWatchs/status/1822773481991184520
View: https://x.com/WarWatchs/status/1822774098801332570
View: https://x.com/WarWatchs/status/1822914381396558262
Ila mnaongeaaa!Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka Lebanon.
Kwa upande mwengine hata yale makombora yanayotumwa na Israel kudaka yanayokuja kutoka kwa Hizbullah nayo yamekuwa yakiripuka yenyewe kabla kufanya kazi iliyokusudiwa.
Hiyo ni sababu hapo jana kombora moja la aina hiyo lilidongokea nyumba moja kaskazini ya Israel na kuleta mshtuko mkubwa kwa familia ambazo wala hazijapewa indhari ya kuhama na wala hawakusikia king'ora cha kuwatahadharisha kama inavyokuwa kikawaida wakati Hizbullah wakiwa wamerusha zana zao.
Utabiri wa kuzidiwa kwa iron dome kudaka silaha za adui ulitolewa zamani na Marekani na huenda nayo ni sababu kwanini Marekani inakimbiza meli zake kuelekea mashariki ya kati huku fununu zikionesha vita hivyo vya moja kwa moja vimebaki masaa machache tu kuanza.
Haipingiki hii mkuu,yoyote yule anayewasapoti maadui wa Israel 99% ni Muslims na wale wanaomuunga mkono Israel 99% ni Jews and Christians.Huu ushindani upo kidini zaidi.Mimi nimezaliwa katika familia ya kikristo,lakini nimekua mtu mzima na nimefunguka kiuerevu,sipo upande wa dini yoyote na wala siendi msikitini wala kanisani,ninaishi maisha spiritual,bhaaas!Nani kakuambia tunapigana vita vya dini, nyie ndio mnaleta udini eti Israel taifa teule labda taifa uharo
israel ni ya kuangamizwa...viva hizbullahWakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka Lebanon.
Kwa upande mwengine hata yale makombora yanayotumwa na Israel kudaka yanayokuja kutoka kwa Hizbullah nayo yamekuwa yakiripuka yenyewe kabla kufanya kazi iliyokusudiwa.
Hiyo ni sababu hapo jana kombora moja la aina hiyo lilidongokea nyumba moja kaskazini ya Israel na kuleta mshtuko mkubwa kwa familia ambazo wala hazijapewa indhari ya kuhama na wala hawakusikia king'ora cha kuwatahadharisha kama inavyokuwa kikawaida wakati Hizbullah wakiwa wamerusha zana zao.
Utabiri wa kuzidiwa kwa iron dome kudaka silaha za adui ulitolewa zamani na Marekani na huenda nayo ni sababu kwanini Marekani inakimbiza meli zake kuelekea mashariki ya kati huku fununu zikionesha vita hivyo vya moja kwa moja vimebaki masaa machache tu kuanza.
Unasubiria nini sasa? Goigoiisrael ni ya kuangamizwa...viva hizbullah
Wewe dogo wacha maneno kwanza kabla ya kurukia Qur'an we simkristo, na wewe unamini vitabu vyenu. Hebu niambie unapo sema Israel ni taifa lilochaguliwa na Mungu, ujuwe unapinga bibilia zenu hahaha. Ukristo ni uharo mpaa vitabu vyenu mnavipinga.Kwa hiyo Allah nae ni Uharo pia hahaha maana nae alisema Israel ni Taifa lililopendelewa kuliko yote...
WAISLAMU WA JF NDUGU YENU WA IMANI ANAMTUKANA ALLAH WENU KUMUITA UHARO-KWA KUKATAA ISRAEL SIO TAIFA TEULE - TUIULIZE QURAN:-
Quran (2:47) Children of Israel! Recall My favour which I bestowed upon you, exalting you above all nations.
Quran (2:47) Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kupeni, na kukutukuza juu ya mataifa yote.
Quran (5:20) And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! Remember Allah’s favours upon you when He raised prophets from among you, made you sovereign,1 and gave you what He had never given anyone in the world.
Quran (5:20) Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.
— Ali Muhsin Al-Barwani
Sasa waislam wa JF ndio mjue viongozi wenu wa Dini walivyo wajinga na waongo.. ndio Masheikh wenu hawa.. mimi nawapasua in seconds wakileta uongo wao wa Msikiti Tv.
So Allah ni Uharo accoriding na Sheihk Adiosamigo
Kwa kuwa Adiasamigo the fake Muslim anasema Israel ni taifa la uharo according to Quran ambayo waislam wanaamini ni maneno ya Allah na ndie aliyeipendelea Israel kuliko mataifa yote leo after miaka 1400 Kiongozi wa Waislam JF Adiosamigo anamuwakilisha Uharo wa Allah...