Roketi za Hizbullah zatajwa kuilemaza mitambo ya kujilinda ya Israel, ndio maana zimepenya na kupiga maeneo ya Israel

Irone dome Mossas Idf na israhell ukizisikia kwenye MSM na kwa wachafuzi wa hapa JF unaweza kuogopa ila uhalisia wao sasa yaani hovyo kabisaaa
 
Cha kuchekesha Waziri wa majeshi ya Israel analia huko anaomba US na Nato wafanye kila njia kuzuia Iran wasiwapige 😄

View: https://youtu.be/HOHTP0EdLBo?si=BQShCfRbgPbySm6i

Hilo taifa la mchongo hata kujilinda lenyewe haliwezi
Nimemskia leo alivyokua anabweka bweka
Nanaona hapa kina german uk ital nk wameapa kuikingia kifua israhell ikiwa itashambuliwa

Halafu kuna wajinga wanatuona sisi wajinga wenzao wanasema hako kataifa chakutungwa kalipigana na mataifa ya kiarabu kwa siku sita na kakashinda eti teh teh teh
 
Hivi vikristo vijinga sana aisay, kupigana na Hamas kashindwa mpaa leo hajashinda lna anasaidiwa na US, UK, France, Germany., Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia, Morocco na etc, Israel hata jeshi la Lesotho haliwezi 😄
 
Hivi vikristo vijinga sana aisay, kupigana na Hamas kashindwa mpaa leo hajashinda lna anasaidiwa na US, UK, France, Germany., Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia, Morocco na etc, abda hata jeshi la Lesotho haliwezi 😄
Hongereni sana waislam kwa kuwashinda wakristo,proud to be a spiritual man!
 
Hivi vikristo vijinga sana aisay, kupigana na Hamas kashindwa mpaa leo hajashinda lna anasaidiwa na US, UK, France, Germany., Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia, Morocco na etc, abda hata jeshi la Lesotho haliwezi 😄
Israhell bila ya mashoga zake muda huu hamas wangekua wanasali pale Al Aqsa

Ukweli mchungu wasioutaka wazayuni wa jf nikwamba jeshi la israhell dhaifu sana sii kama tulivyodanganywa
 
Nani kakuambia tunapigana vita vya dini, nyie ndio mnaleta udini eti Israel taifa teule labda taifa uharo
Kwa hiyo Allah nae ni Uharo pia hahaha maana nae alisema Israel ni Taifa lililopendelewa kuliko yote...

WAISLAMU WA JF NDUGU YENU WA IMANI ANAMTUKANA ALLAH WENU KUMUITA UHARO-KWA KUKATAA ISRAEL SIO TAIFA TEULE - TUIULIZE QURAN:-
Quran (2:47) Children of Israel! Recall My favour which I bestowed upon you, exalting you above all nations.
Quran (2:47) Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kupeni, na kukutukuza juu ya mataifa yote.
Quran (5:20) And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! Remember Allah’s favours upon you when He raised prophets from among you, made you sovereign,1 and gave you what He had never given anyone in the world.
Quran (5:20) Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.

— Ali Muhsin Al-Barwani

Sasa waislam wa JF ndio mjue viongozi wenu wa Dini walivyo wajinga na waongo.. ndio Masheikh wenu hawa.. mimi nawapasua in seconds wakileta uongo wao wa Msikiti Tv.

So Allah ni Uharo accoriding na Sheihk Adiosamigo

Kwa kuwa Adiasamigo the fake Muslim anasema Israel ni taifa la uharo according to Quran ambayo waislam wanaamini ni maneno ya Allah na ndie aliyeipendelea Israel kuliko mataifa yote leo after miaka 1400 Kiongozi wa Waislam JF Adiosamigo anamuwakilisha Uharo wa Allah...
 
Kumbuka Iron Dome kazi yake ni kuzuia hatari kama rocket inaenda kutua uwanjani hiyo no need kuzuia let it fell down.​

Barrage on northern Israel: More than 30 launches identified, IDF attacking in Lebanon​

Sirens sounded in Nahariya and the surrounding area. Approximately 30 projectiles identified, a number of which fell in open areas. Fires reported as a result of the rocket fire.​

Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka Lebanon.

Kwa upande mwengine hata yale makombora yanayotumwa na Israel kudaka yanayokuja kutoka kwa Hizbullah nayo yamekuwa yakiripuka yenyewe kabla kufanya kazi iliyokusudiwa.

Hiyo ni sababu hapo jana kombora moja la aina hiyo lilidongokea nyumba moja kaskazini ya Israel na kuleta mshtuko mkubwa kwa familia ambazo wala hazijapewa indhari ya kuhama na wala hawakusikia king'ora cha kuwatahadharisha kama inavyokuwa kikawaida wakati Hizbullah wakiwa wamerusha zana zao.

Utabiri wa kuzidiwa kwa iron dome kudaka silaha za adui ulitolewa zamani na Marekani na huenda nayo ni sababu kwanini Marekani inakimbiza meli zake kuelekea mashariki ya kati huku fununu zikionesha vita hivyo vya moja kwa moja vimebaki masaa machache tu kuanza.
Ila mnaongeaaa!
 
Wameanza, badae wataanza kupost wanawake wa watoto vipofu.
 
Nani kakuambia tunapigana vita vya dini, nyie ndio mnaleta udini eti Israel taifa teule labda taifa uharo
Haipingiki hii mkuu,yoyote yule anayewasapoti maadui wa Israel 99% ni Muslims na wale wanaomuunga mkono Israel 99% ni Jews and Christians.Huu ushindani upo kidini zaidi.Mimi nimezaliwa katika familia ya kikristo,lakini nimekua mtu mzima na nimefunguka kiuerevu,sipo upande wa dini yoyote na wala siendi msikitini wala kanisani,ninaishi maisha spiritual,bhaaas!
 
Dini zinagawanya watu lakini Spirituality inaunganisha watu wote.
 
Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka Lebanon.

Kwa upande mwengine hata yale makombora yanayotumwa na Israel kudaka yanayokuja kutoka kwa Hizbullah nayo yamekuwa yakiripuka yenyewe kabla kufanya kazi iliyokusudiwa.

Hiyo ni sababu hapo jana kombora moja la aina hiyo lilidongokea nyumba moja kaskazini ya Israel na kuleta mshtuko mkubwa kwa familia ambazo wala hazijapewa indhari ya kuhama na wala hawakusikia king'ora cha kuwatahadharisha kama inavyokuwa kikawaida wakati Hizbullah wakiwa wamerusha zana zao.

Utabiri wa kuzidiwa kwa iron dome kudaka silaha za adui ulitolewa zamani na Marekani na huenda nayo ni sababu kwanini Marekani inakimbiza meli zake kuelekea mashariki ya kati huku fununu zikionesha vita hivyo vya moja kwa moja vimebaki masaa machache tu kuanza.
israel ni ya kuangamizwa...viva hizbullah
 
Kwa hiyo Allah nae ni Uharo pia hahaha maana nae alisema Israel ni Taifa lililopendelewa kuliko yote...

WAISLAMU WA JF NDUGU YENU WA IMANI ANAMTUKANA ALLAH WENU KUMUITA UHARO-KWA KUKATAA ISRAEL SIO TAIFA TEULE - TUIULIZE QURAN:-
Quran (2:47) Children of Israel! Recall My favour which I bestowed upon you, exalting you above all nations.
Quran (2:47) Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kupeni, na kukutukuza juu ya mataifa yote.
Quran (5:20) And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! Remember Allah’s favours upon you when He raised prophets from among you, made you sovereign,1 and gave you what He had never given anyone in the world.
Quran (5:20) Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.

— Ali Muhsin Al-Barwani

Sasa waislam wa JF ndio mjue viongozi wenu wa Dini walivyo wajinga na waongo.. ndio Masheikh wenu hawa.. mimi nawapasua in seconds wakileta uongo wao wa Msikiti Tv.

So Allah ni Uharo accoriding na Sheihk Adiosamigo

Kwa kuwa Adiasamigo the fake Muslim anasema Israel ni taifa la uharo according to Quran ambayo waislam wanaamini ni maneno ya Allah na ndie aliyeipendelea Israel kuliko mataifa yote leo after miaka 1400 Kiongozi wa Waislam JF Adiosamigo anamuwakilisha Uharo wa Allah...
Wewe dogo wacha maneno kwanza kabla ya kurukia Qur'an we simkristo, na wewe unamini vitabu vyenu. Hebu niambie unapo sema Israel ni taifa lilochaguliwa na Mungu, ujuwe unapinga bibilia zenu hahaha. Ukristo ni uharo mpaa vitabu vyenu mnavipinga.

Romans 2:11 indeed states, "For God does not show favoritism

Haya turudi kwenye Qur'an hivi we unajua mana ya hi Aya ulio quote, inaongelea vitu vilivyo pita inasema KUMBUKENI ni kitu cha nyuma.

Quran (2:47) Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo kupeni, na kukutukuza juu ya mataifa yote.

Qur'an uilio quote kuhusu maneno ya Mussa pia inaongelea yalio pita sio yanayo kuja. Bada ya Yesu utume uliondoka kwao hapo sio vipenzi tena vya Mungu.

Qur'an 5.20 Na pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za Mwenyezi Mungu zilizo juu yenu, alipo wateuwa Manabii kati yenu, na akakufanyeni watawala, na akakupeni ambayo hakuwapa wowote katika walimwengu.

Nipe Aya inayoongelea Israel ndio taifa teule huna, nipe Aya inayosema Waisreal ndio walio chaguliwa maisha yao na Mungu kuwa ndio vipenzi vyake hauna.
Taifa lilo chaguliwa na Mungu sio kuleta kumbukeni au na pale Musa aliposema, kwanini Mussa asisema mtaendelea maisha yenu kuwa vipenzi vya Mungu, alikuwa anawakumbusha nema ya kuongoza Mitume kutoka kwao sio kuwa wao bora kuliko wengine, wakati ule anawambia wao sio sasa. Badaye alikuja Yesu na Yesu akawambia Wana wa Israel mapenzi ya Mungu yanaondoka kwenu unaenda kwenye taifa lingine.

Kwanini huleti Aya za Mungu aliwalani haha mfano hi Surah Al Maidah 78
Walilaaniwa walio kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa wanapindukia mipaka.

Rudi shule dogo kasome upate akili.
 
Unadanganya ili iweje warusi walidanganya leo wanapigwa

USSR
huoni na nyinyi mlivyodanganya kuhusu Israel.Leo ndio tumeona yanayowapata kutoka Lebanon.
 
Back
Top Bottom