stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Lini unaenda Gaza kusaidia Hamas au Lebanon kwa Hezbollahhuoni na nyinyi mlivyodanganya kuhusu Israel.Leo ndio tumeona yanayowapata kutoka Lebanon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini unaenda Gaza kusaidia Hamas au Lebanon kwa Hezbollahhuoni na nyinyi mlivyodanganya kuhusu Israel.Leo ndio tumeona yanayowapata kutoka Lebanon.
Wakristo wa kwetu ndio hawajitambui.Hivi vikristo vijinga sana aisay, kupigana na Hamas kashindwa mpaa leo hajashinda lna anasaidiwa na US, UK, France, Germany., Egypt, Jordan, UAE, Saud Arabia, Morocco na etc, Israel hata jeshi la Lesotho haliwezi 😄
Kweli katika hao wakristo 70% wako na Hezbullah na wako 30% kama hawa mabwege waliopo kwetu akili zao kama kenge.Wakristo wa kwetu ndio hawajitambui.
Kule Lebanon wako bega kwa bega na waislamu kujilinda na uchokozi wa mbaya wao