huo u-barbaric waweza kuwa ndio unaotakiwa!!! mchana hapa nimeuliza ni mafisadi wangapi weusi wameshatingishwa kortini na kuhukumiwa???!! hakuna alojibu, watu wanarukaruka......oooh jiitu patel kakimbia!! alaah, serikali imeripoti interpol kuwa inamwitaji kujibu mashtaka??kimyaaaaa, domo zege!! ebo, tatizo ni sisi, miafrika mibwege. tazama yule pimbi mkapa....wallahi, yule bwana lazima diabetic, type 2 inamtandika, kwa mwendo wake huu hana miaka kumi hapa duniani!!! lakini bado yumo tu, tumbo utafikiri ana mimba ya watoto kumi......babu hutosheki???.
kusema group flani la watu ndio baya kutokana na rangi zao si sahihi!! sheria dhidi ya rushwa zipo, suala ni kuzi-enforce. mfano lowassa, anahitaji a day kwa pilato.....vinginevyo, hili ni chezo la kuingiza na wakulaumiwa si patel.