Role of Indians in the Tanzanian Economy

This is not a fact because you know it is not. Come with facts and put forward your arguments.

Re-read my post. I listed the facts that Africans need to accept. You seem not to want to accept those facts and you don't give any reasons. Well there is nothing I can do about that.

I don't accept this because you must include Asians of African origin. We are discussing about Tanzania.

Why should I include Asians of African origin? Perhaps I should have been more specific and said Black Africans instead of just Africans but did not think I had to. Somebody else on this thread said and I paraphrase we are discussing Asians on this thread, if I want to discuss Africans I should start another thread. What does tell you? Whoever made that comment does not believe the term African includes Asians of African origin and I assume that sentiment is not unique judging from comments on this thread.

Again this is baseless and you dont have facts but there a alot of them and because you don't have interest with them , you conlude that there is none of them.

Why don't you name a couple of those African written languages?

I do'nt need to tell you who fails them because you have the answer. The day when changes will take place you will be surprised.

So somebody else failed Africans? Who would that be? Asians? If that is the case how come African countries with very little Asian influence still fail? What is the common denominator in all failed African states? Hint...look in the mirror!

Are you serious? have you travelled the world? What about Botswana and Namibia where, you will find Tanzanian engineers and doctors and they live and work there comfortably?

Those countries are anomalies. Plus, with all of the resources in Botswana, it is no where near prosperous maybe by African standards. It should be at the level South Africa used to be because of its resources.

All I can say here this is an insult because you don't have facts. Anything you have said here, you have been spoonfed by someone, go out and learn something.

Again, facts were presented in my original post.

Mkuu, I went to school back in those years with my Asian friends (Akil Taheral, Rajar Sing and others) and also the sons of Jai Shankar daladala buses then running from Ubungo to Posta ya zamani back in 1980s. Also there were companies like Ali-Bhai tours and others ambao walikuwa wakichakarika na maisha na walikuwa na decent lives.

These were the real Tanzanians of Asians origin because they were mixing with black Africans and the did their business without problems and they had nothing to fear.

But here today, we are talking about some people within Tanzanians of Asian origin who are there to steal from that country and plunder its resources, and these are the real MAFISADI whose their job is also to cooperate with Mr Chenge type of people, and were are here to try t expose them by any possible means.

That's not how this thread started, and it's not where it is heading.
 
Yes you are absolutely right.

In terms of constructive arguments I think we two should end up here as this is not going to be the one.

Thanks.
 
Hii sio ukweli mawaziri wote wafisadi si waasia! na kunawafanyakazi wengi wanahonga na siyo waasia. Totauti ni kwamba mawaziri wengi wana waamini waasia zaidi lakini mwizi ni mwizi tu.
 
Please don't stop...
I want you guys to go at it more...

Mkuu,

This guy is not answering my qestions I asked him instead he comes with proof reading tactics which I think is unacceptable.

He didn't like my final words.
 
Re-read my post. I listed the facts that Africans need to accept. You seem not to want to accept those facts and you don't give any reasons. Well there is nothing I can do about that.

Where did you list the facts? I cannot find them.

Why should I include Asians of African origin? Perhaps I should have been more specific and said Black Africans instead of just Africans but did not think I had to. Somebody else on this thread said and I paraphrase we are discussing Asians on this thread, if I want to discuss Africans I should start another thread. What does tell you? Whoever made that comment does not believe the term African includes Asians of African origin and I assume that sentiment is not unique judging from comments on this thread. .

When I say Asians of African origin I am talking about people like Patel who brokered the deal of radar system and now he is in hiding. These people hold more than two passport s for crminal proceedings that's the fact.

Why don't you name a couple of those African written languages?.

Well we have the best Song of Lowino Song of Okol which were written by Chinua Achebe and other books which all were to be transleted to English for wider audience, and even Professor Wole Soyinka who is writer, poet and playwright, he uses some of African Books in his lectures in the US.

Soyinka is currently the Elias Ghanem Professor of Creative Writing at the English department of the University of Nevada, Las Vegas and the President's Marymount Institute Professor in Residence at Loyola Marymount University in Los Angeles, California, US. This is one of many African IQs you claims that are very low.

So somebody else failed Africans? Who would that be? Asians? If that is the case how come African countries with very little Asian influence still fail? What is the common denominator in all failed African states? Hint...look in the mirror!.

Here you know who are they African "elites" and their counterparts Asians

Those countries are anomalies. Plus, with all of the resources in Botswana, it is no where near prosperous maybe by African standards. It should be at the level South Africa used to be because of its resources..

Please will you be more specific on this word anomalies?

Again, facts were presented in my original post.

That's not how this thread started, and it's not where it is heading.

Dear Sir/madame,

Facts build logical argument by comparing them with fallacious arguments. The facts I want you to mention to me is for example on issue of IQ of Africans as you say are low. How did you come up with this idea and give me statistics and where the tests were taken.
 
I accept a lot of comments about Indians written on this thread so. Indians are too powerful, Indian businessmen are corrupt, blah blah blah...all maybe true. But what also maybe true is the fact that Africans are intellectually and mentally inferior to other people. Can Africans accept this? Can Africans accept the fact that they have never invented anything worthwhile? Not a even a wheel? Can Africans accept that there are hundreds if not thousands of languages spoken in Africa and not a single one of those languages is written? Can Africans accept that they fail everywhere not just in East Africa where Indians dominate the economy? Can Africans accept that there is not a single African nation that is stable and prosperous in this world? Can Africans accept that they have the lowest average IQ scores in this world?

Mkjj na wengine wetu,

Kazi ya kupinga mjadala huu inakuwa ngumu sana unapokutana na vitu kama hivi vilivyobandikwa hapo chini.

Ninaweza kukuhakikishia kwamba ukitembelea 'JamboForum' ambazo ni za hawa wenzetu, pengine mjadala kama huu wetu utakuwa katika mawazo ya walio wengi wenye kukubaliana na huyu mTanzania mwenzetu.

Lakini ukitaka kujua tofauti kubwa sana iliyopo (kimawazo ya kibaguzi na kitamaduni), fuatilia jumuia za kiasia katika kila nchi wanakoishi. Wao wana mambo yao peke yao, na sio rahisi kujihusisha na wananchi wakazi wa nchi hizo. Pengine ni kwa kujiona wao ni bora zaidi ya wengine?

Tuanapozungumzia ubaguzi, ni muhimu pia kuangalia huyo anayesemwa kubaguliwa. Inawezekana mtindo wake kimaisha ni wa kujibagua au ndio unaosababisha abaguliwe.

Mimi siamini kuwa waasia wote ni wabaguzi, lakini ninaamini kuwa wengi wao ni wabaguzi wabaya sana.
 
Labda inawezekana pia ni effect za caste system ambazo zimechangia tabia hizo!
Hata hivyo changamoto bado ni lazima tuwape ndugu zetu waasia kwani wakibadilika na Tanzani itabadilika!
Wasipofanya hivyo then inawezekana kukaja kutokea machafuko!
 
Hivi kweli matatizo yetu yote hapa ni kuwa hawataki tuoe binti zao? Mbona wahaya hawataki nioe binti zao? mbona nikienda kuchumbia kwa sheikh atanitoa nje? Hauwezi kulazimisha mtu kujichanganya na wewe kama vile naye hawezi kukulazimisha ujichanganye nae.

Tatizo letu sisi waswahili ni kuwa tumeamini dhana ya kuwa sisi ndivyo tulivyo! Tunadhani kuwa hatutakamilika mpaka hapo wale wenye ngozi nyeupe na kahawia watakapotukubali. Hatuishi kujikomba kwao na mbaya zaidi tunafanya hivyo kwa kutumia maneno yale yale ambayo wao wanatumia kutu'ridicule'!

Kwa mtazamo huo, ndiyo tunawapa wapuuzi wanaojiita The Truth kututukana na baadhi yetu bila aibu kukiri kuwa kuna ukweli katika yale wanayosema! Anatubeza kuwa hatujawahi kugundua hata gurudumu akisahau kuwa matumizi ya kwanza ya gurudumu yalifanyika Mesopotamia 3500 BC na kutoka huko yakapenyeza hai Indus valley na Afrika (Misri). WaInca, Aztec na Maya hawakuwahi kutumia magurudumu lakini haikuwafanya wawe duni! Hawakuhitaji gurudumu katika mazingira yao. Kama vile wakazi wa misituni wasivyohitaji. Anatubeza kuwa hatukuwa na maandhishi akisahau kuwa Hieroglyphics ilitokea Afrika, wa Amharik nao walikuwa na maandhishi yao n.k. watu kama hawa na vibaraka wao wengine waliokuwa miongoni mwetu ndiyo kwa miongo mingi wamefanya kila jitihada kukana utu wa mwafrika.

Mjadala kama huu unaelekea huko huko maana unazidi kuthibitisha(kwa wale wenye malengo yao) insecurities tulizokuwa nazo sisi waafrika. Katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 35 tunashindwa kweli kubeba mizigo yetu kama watu wazima bila kutafuta visingizio visivyo na maana? Hamuoni kwa kudai kuwa waasia ndio wala rushwa wa kwanza wakati ni waswahili wanaokamatwa ndiko kunazidi kuthibitisha tulivyo inferior? Mimi nakataa kwenda huko. Sitegemei mtu au jamii yeyote inibebee mizigo yangu kama vile nisivyokubali kutwishwa mizigo ya wengine. Nakataa kuingia katika uovu ule ule uliochangia kunifikisha hapa nilipo kwa kuhukumu jamii nzima kwa makosa ya baadhi yao. Vilevile nakataa kumtetea muovu yeyote kwa vile tu ana rangi inayofanana na yangu.

Sivyo Nilivyo! Amandla!
 
Ok basi bana!
Waasia hawali rushwa!
Are you happy now?!
Waasia walkibadilisha nyendo zao Tanzania naYo itabadilika!
Wakianza kuwa na nia nzuri..then mafanikio tutayaona!
Wakiwekeza kwa namna ya kuukomboa uchumi then we'll be prosperous!
Kwani hujui uchumi wetu wameushikilia wao!
Na uti wa mgongo wa uchumi hadi recently and maybe still now ni KILIMO!
SWALI;
Je wamewekeza huko ambako kutaisadia nchi yetu kubadilika na kupata maendeleo kama vile maeneo ya vijijini,kilimo na ujenzi?
Jibu ni A BIG NO!
 
Yaani unasema mabadiliko yetu yanategemea waasia? Kwamba bila wao sisi si chochote1 kweli hiyo?

Nani amesema waasia hawali au hawatoi rushwa? Usichokielewa wewe na wengine wenye mawazo kama yenu kuwa mnachokisema ni kuwa bila waasia kuwekeza kwenye kilimo hatuwezi kujikomboa! Hao wakina Lukaza wamewekeza ngapi katika kilimo au kuwajengea makazi walala hoi? Badala yake tunasikia wana majumba dubai na kwingineko na sifa kubwa waliokuwa nayo ni ya kuingiza magari ya kifahari kwa ndege! Huyo mwenye account Jersey nae mhindi? Mkono ana mashamba mangapi? Mengi ana mashamba mangapi? kwa nini leo muwalaumu wahindi kwa kuwekeza kwenye kulipa?

Bila aibu tunawalaamu kuwa wameshika uchumi wote! Sisi ambao tuliwanyang'anya mali zao na kwa uzembe wetu tukazifilisi! Tuliwanyang'anya majengo, tukapangishana wenyewe. Haukupita muda tukawauzia waasia tukisema kuwa hatuwezi kuishi kwenye nyumba za kupanga. Leo tunawalaamu ati kwa nini wamejazana mjini, ambako wenyewe tuliwapisha kwenye nyumba zao ambazo tuliwanyang'anya! Tuliendesha benki zetu kwa miaka kibao na hatukufanya jitihada yeyote ya kuwainua wenzetu bali tulikimbilia kuwapa waasia hawa hawa mikopo ya ajabu ajabu! Wao leo wameanzisha tena benki zao, tunawalaumu kwa kuwekeza huko? Kinatushinda nini sisi tulio wengi kuwekeza kwenye mabenki yetu?

Ninachosema mimi ni kuwa mpaka hapo tutakaposimama na kukataa kutumiwa na wengine hatutajikomboa. Tunavyozidi kuendelea kutoa boriti lililo ndani ya maji yetu tutaendelea kuwa vipofu! Badala ya kuwakomalia wale wenzetu waliomfungulia mlango mchawi tunabaki kulalama tu! Amini usiamini katika hiyo jamaa ya waasia kuna walio na moyo wa mapenzi na nchi yao kama wewe na mimi na wanachukizwa mno na vitendo vinavyofanywa na baadhi yao! Nani utasema ana uchungu na mlala hoi kati ya Shivji na Mkono? Tusiruhusu huu mdudu wa ubaguzi usio na maana ukatufanya tuwatenge wenzetu ati kwa vile tu tunatofautiana rangi!
 
Where did you list the facts? I cannot find them.

I listed them in my original post . Let me re-post it below with facts in bold.

"I accept a lot of comments about Indians written on this thread so. Indians are too powerful, Indian businessmen are corrupt, blah blah blah...all maybe true. But what also maybe true is the fact that Africans are intellectually and mentally inferior to other people. Can Africans accept this? Can Africans accept the fact that they have never invented anything worthwhile? Not a even a wheel? Can Africans accept that there are hundreds if not thousands of languages spoken in Africa and not a single one of those languages is written? Can Africans accept that they fail everywhere not just in East Africa where Indians dominate the economy? Can Africans accept that there is not a single African nation that is stable and prosperous in this world? Can Africans accept that they have the lowest average IQ scores in this world?"

When I say Asians of African origin I am talking about people like Patel who brokered the deal of radar system and now he is in hiding. These people hold more than two passport s for crminal proceedings that's the fact.

...and I have already acknowledge that fact when I agreed that Indians are too powerful and some are corrupt. I am waiting for you to acknowledge other facts about Africans I posted above. Can you swallow your pride and acknowledge them?

Well we have the best Song of Lowino Song of Okol which were written by Chinua Achebe and other books which all were to be transleted to English for wider audience, and even Professor Wole Soyinka who is writer, poet and playwright, he uses some of African Books in his lectures in the US.

A written language has to have it's own writing system. If you simply write your language using someone else's writing system then you don't have a written language. That is in the absence of someone else's writing system, your language could not have been written. Arabic can be written in it's own writing system for example. It takes a certain sophistication for a group of people to come up with such a system. Africans throughout history have never been able to do that. Egyptians had hieroglyphics but there is no evidence that ancient Egyptians were Black Africans.

Soyinka is currently the Elias Ghanem Professor of Creative Writing at the English department of the University of Nevada, Las Vegas and the President's Marymount Institute Professor in Residence at Loyola Marymount University in Los Angeles, California, US. This is one of many African IQs you claims that are very low.

I am talking about average IQ not individual IQ of Africans. An average means there are scores above the average and below the average within that population. This is basic statistics. So you can always point out smart Africans but on average Africans have low IQ.

Here you know who are they African "elites" and their counterparts Asians

LOL...Asians aren't all over Africa in any significant numbers. So you are only left with African "elites". But who elects these African elites over and over?

Please will you be more specific on this word anomalies?

The fact that they are stable and prosperous by African standards make them anomalies. They are certainly not the norm in Africa.

Dear Sir/madame,

Facts build logical argument by comparing them with fallacious arguments. The facts I want you to mention to me is for example on issue of IQ of Africans as you say are low. How did you come up with this idea and give me statistics and where the tests were taken.

OK. Average IQ of Africans were obtained from the book IQ and Global Inequality by Lynn and Vanhanen. See below

http://www.amazon.com/Global-Inequality-Richard-Lynn-Vanhanen/dp/1593680252
 
Yaani unasema mabadiliko yetu yanategemea waasia? Kwamba bila wao sisi si chochote1 kweli hiyo?

Nani amesema waasia hawali au hawatoi rushwa? Usichokielewa wewe na wengine wenye mawazo kama yenu kuwa mnachokisema ni kuwa bila waasia kuwekeza kwenye kilimo hatuwezi kujikomboa! Hao wakina Lukaza wamewekeza ngapi katika kilimo au kuwajengea makazi walala hoi? Badala yake tunasikia wana majumba dubai na kwingineko na sifa kubwa waliokuwa nayo ni ya kuingiza magari ya kifahari kwa ndege! Huyo mwenye account Jersey nae mhindi? Mkono ana mashamba mangapi? Mengi ana mashamba mangapi? kwa nini leo muwalaumu wahindi kwa kuwekeza kwenye kulipa?

Bila aibu tunawalaamu kuwa wameshika uchumi wote! Sisi ambao tuliwanyang'anya mali zao na kwa uzembe wetu tukazifilisi! Tuliwanyang'anya majengo, tukapangishana wenyewe. Haukupita muda tukawauzia waasia tukisema kuwa hatuwezi kuishi kwenye nyumba za kupanga. Leo tunawalaamu ati kwa nini wamejazana mjini, ambako wenyewe tuliwapisha kwenye nyumba zao ambazo tuliwanyang'anya! Tuliendesha benki zetu kwa miaka kibao na hatukufanya jitihada yeyote ya kuwainua wenzetu bali tulikimbilia kuwapa waasia hawa hawa mikopo ya ajabu ajabu! Wao leo wameanzisha tena benki zao, tunawalaumu kwa kuwekeza huko? Kinatushinda nini sisi tulio wengi kuwekeza kwenye mabenki yetu?

Ninachosema mimi ni kuwa mpaka hapo tutakaposimama na kukataa kutumiwa na wengine hatutajikomboa. Tunavyozidi kuendelea kutoa boriti lililo ndani ya maji yetu tutaendelea kuwa vipofu! Badala ya kuwakomalia wale wenzetu waliomfungulia mlango mchawi tunabaki kulalama tu! Amini usiamini katika hiyo jamaa ya waasia kuna walio na moyo wa mapenzi na nchi yao kama wewe na mimi na wanachukizwa mno na vitendo vinavyofanywa na baadhi yao! Nani utasema ana uchungu na mlala hoi kati ya Shivji na Mkono? Tusiruhusu huu mdudu wa ubaguzi usio na maana ukatufanya tuwatenge wenzetu ati kwa vile tu tunatofautiana rangi!
Hawa watu ni corrupt bana acha hadithi za paka na panya hapa!
Wasipobadilisha nyendo zao then hakitaeleweka!Sikia Fundi Juma?!
Mabadiliko yanategemea sisi tutawakomalia vipi kichwa hao mafisadi wote together with the gabachoris!
Usijaribu kupindisha mada coz maybe una inerest zako ambazo no body cares anyways!
Hapa watu wanapigania uzalendo in any means neccessary!
Walijaribu Uingereza around 2001 na before lakini walishindwa!Blair almanusra aingie mkenge!
We've got to be carefull!
Mengi wasn't and isnt corrupt!Kamuulize Manji!
 
No matter what ni vigumu kumlazimisha punda kunywa maji, inagwa unaweza kumfikisha kwenye mto, hatuwezi kukubali kuendelea kutumiwa na Wahindi ambao kwanza strategically na sio accidentally, wamezishika njia zote za uchumi wetu, na kutufanya sisi wageni ndani ya nchi yetu, sikuhusika kwenye kuwapa hiyo power, lakini viongozi wangu ambao wengi hawapo tena ndio waliofanya hayo sasa what do I do now? Niendelee tu kukubali ujinga? Nikiuliza eti ninakuwa inferior na blah! blah! what a nonesense!

Mkuu kwa taarifa yako, katika miaka yote ya 70s, 80s, na 90s, 80% ya mikopo yote tuliyokuwa tukipewa na wazungu kwa ajili ya miradi mbali mbali kwa taifa letu, ilikuwa steered na mawaziri wetu wa hazina na viwanda na biashara kwa Wahindi, sasa exactly ulitegemea nini kutoka kwa wananchi wetu ambao hata sidhani kama walikuwa wanajua hata kama mikopo hiyo ilikuwa inatolewa, sasa leo unataka nimlaumu nani?

Tumesema kuwa hatuwezi kuendelea kucheza na watu ambao hawataki ku-conform na kuwa kama sisi, na lazima ilikuwa tutoe mifano, ambayo ni pamoja na kwamba kwanza sio majirani zetu, halafu hatuchanganyikani nao, sasa tunawahitaji wa nini?

Wakuu hii ni saaa ya ukombozi, ninasema saa imefika ya ukombozi kwa wananchi wa Tanzania, kila kona moto wa ukombozi unawaka, kuanzia kwenye Diaspora huko London, Chenge na Radar, Lowassa na Richimonduli, na sasa Bandari I mean moto everywhere, sasa tunajua kuna ambao hatutaenda nao huko Promised Land, maana wamezoea sana kula makombo ya Wahindi, ninasema hatutakatishwa tamaa na anything wala anybody, saaa imefika ya ukombozi hatutaacha any stone un-turned, either uko na sisi au uko na Wahindi na mafisadi, hatutageuka mawe tena, tulikotoka ni mbali na safari inaonekana sasa inaanza kuwa nyepesi sana tena sana, very soon maneno yataanza kuwa kwenye mahakama za wananchi, siku inaonekana inakuja karibuni sana! Hii vita vya kujikomboa kiuchumi, kisheria na kisiasa, it has nothing to do na any inferior ideas wala intellectualism hivi simply vita vya mafisadi na vibaraka vyao anyetaka kuwa inferior shauri lake, sisi tunataka ukombozi na we are marching forward na it is very clear kuwa wengi tutawaacha nyuma, so be it!

Hii ni ishu ya Wahindi period, anayetaka ishu ya waafrika na inferiority zao nafasi ipo akaanzishe thread yake, ila tu msituchanganye manake hapa tunakataa kuchanganywa na mafisadi, na Wahindi, No way tutakubali kuchanganywa na nyinyi na maneno yenu mengi ya shule kumbe ni nonesense tupu!

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Mungu aibariki Tanzania even more!
Na iwe hivyo!
Ni wakati wa kuandika Historia mpya ndani ya Tanzania!
Yes it is the right time!
 
Kuna mtu huko juu aliandika IQ ya waafrika ni ndogo ni upuuzi mtupu, nani ambaye kamwambia hicho kitu? Kila mtu ana IQ kulingana na mazingira anyoishi, hichi ndio kitu Rev Wrigth wa Obama alikuwa anaongelea, Huwezi ku-Compare mtu aliyetoka Africa na aliyetoka sehemu nyingine kwa sababu kila mmoja anajifunza kivyake kulingana na mazingira yake. Kwa hiyo sikubaliani na hilo. Ni kweli wazee wetu wana Inferiority complex lakini sio woote. Unajua kuna kitu ambacho ni tofauti kati ya mtu aliyeishi Bongo na kuna kama sisi wengine tumeishi nje ya Bongo, kwa sababu sasa hivi huniambii chochote kuhusu muhindi au mtu wa mahali popote pale duniani, ninaweza nikapambana naye katika kitu chochote. Kumbuka wazee wetu waliogombania Uhuru walipata moyo wa kugombania baada ya kurudi toka kwenye vita WW2. yaani baada ya kuona kwamba wazungu ni kama sisi tuu na wao ni waoga, wanakufa, ni waoga na wanafanya vitu vyote kama sisi, kwa hiyo kuna mtu kasema IQ za waafrica ndogo labda ni yeye mwenyewe na Inferiority complex zake.
Nirudi kwenye suala la Wahindi. Hicho kitu kinaeleweka kabisaa kwanda ndio watu walio Behind the Scene on almost everything and every Government deal ambazo zinafanyika katika nchi nyingi za Africa, na hawana uchungu kabisa na nchi za Africa na ndio maana wanajijenga nje ya nchi na sio Tanzania. Sio ubaguzi wala nini inabidi kuwasomesha wa-Tanzania na waondokane na hayo mawazo yao ya uoga kwa wahindi. wakianza kuwekwa jela hapo Tanzania ndio watajua kwamba Watanzania hawana utani sasa kwa sababu sijui kama kuna Mu-hindi yoyote jela ya Tanzania na kwa nini hawapo na wakati ni wezi na wala rushwa? Kwa hiyo mpaka hapo Majaji, mapolisi na ziongozi watakapoanza kufanya kazi yao bila ya kuwaogopa wahindi ndio tutafika. Inabidi washtakiwa na wafungwe, kwa sababu si wanajiita Watanzania/. Poaa.
 
Sikia Fundi Juma?!
Mabadiliko yanategemea sisi tutawakomalia vipi kichwa hao mafisadi wote together with the gabachoris!
Usijaribu kupindisha mada coz maybe una inerest zako ambazo no body cares anyways!
Hapa watu wanapigania uzalendo in any means neccessary!
Walijaribu Uingereza around 2001 na before lakini walishindwa!Blair almanusra aingie mkenge!
We've got to be carefull!
Mengi wasn't and isnt corrupt!Kamuulize Manji!

Fundi Juma?!
Mkuu, you are God's own gift to people like the Truth!
Wote tunaochangia humu ndani tuna interest zetu, there is no denying that!
Unfortunately, watu wenye msimamo kama wako ndiyo wanaoupa uzalendo jina baya!
Siwezi kusema lolote kuhusu corruption ya Mengi maana simjui. Nilichouliza ni jee yeye na matajiri wenzake ambao ni waafrika weusi wana mashamba? Maana unashupalia wahindi walime na sio kuwekeza kwenye sehemu nyingine za uchumi!
Kwa wapuuzi kama the Truth, Egypt haiku'exist' in isolation. Egypt ilikuwa sehemu ya Afrika. Walifanya biashara na hata kutawaliwa na mapharaoh wenye asili ya Nubia na Kush! Au anadhani kuwa watu wa Nubia na kush walikuwa wahindi? Kwani wale wa Mahenjo-Daro nao walikuwa wahindi? Mughals nao walikuwa wahindi? Sanskrit ni lugha ya wahindi? Kwanza wahindi ni nani? Usitubabaishe.
I am out of here!
 
...kwenye suala la Wahindi... ndio watu walio Behind the Scene on almost everything and every Government deal ambazo zinafanyika katika nchi nyingi za Africa, na hawana uchungu kabisa na nchi za Africa na ndio maana wanajijenga nje ya nchi na sio Tanzania...
inabidi kuwasomesha wa-Tanzania na waondokane na hayo mawazo yao ya uoga kwa wahindi. ...sijui kama kuna Mu-hindi yoyote jela ya Tanzania na kwa nini hawapo na wakati ni wezi na wala rushwa?

Huwa napenda kusema kuwalaumu wahindi kwa kuongoza kwa rushwa ni sawa na kusema Wanaume ni wazinzi kuliko Wanawake. Wanazini na nani?

Wanatoa rushwa, nani anaila?

Nyinyi wenye uchungu na nchi yenu, mlio shikilia hiyo Serikali, mbona mnaiuza? Ni kwa sababu mnawaogopa wahindi ndio maana mnauza nchi? Unaweza ukampa yule bigot more fodder to ruminate on . Na nani ana hatia zaidi, nani yuko more culpable, who has more red blood on his hands kati ya asiye na uchungu na nchi na yule mwenye nchi katika kuuza nchi? Huyu wa kwanza ni Mkora, kama wanavyo sema Wakenya. Huyu wa pili nadhani ni treasonous!
 
Hii ni ishu ya Wahindi period, anayetaka ishu ya waafrika na inferiority zao nafasi ipo akaanzishe thread yake, ila tu msituchanganye manake hapa tunakataa kuchanganywa na mafisadi, na Wahindi, No way tutakubali kuchanganywa na nyinyi na maneno yenu mengi ya shule kumbe ni nonesense tupu!

Mkuu unayejua yote!

Kama hii ishu ni kuhusu wahindi tu si mngesema hivyo? Au wahindi ndio waasia pekee? Waarabu, wachina, wamealeisia, wajapan wote wamegeuka kuwa wahindi? Mbona unapenda ukiranja wakati wala sio moderator? The last time I looked si wewe uliyeanzisha thread hii. Kwa mtazamo huo kama unataka iwe ya wahindi pekee yake kaanzishe inayosema hivyo.

Sasa kama unachanganywa na maneno yetu utajuaje kuwa ni nonsense wakati hautuelewi?

Usilazimishe zogo pale pasipo na zogo.tetea hoja yako bila kukimbilia maneno mazito kama nonsence. Lakini fanya hivyo ukijua kuwa kuna watu watasoma na kama hawataiafiki wataipinga kwa sauti zao zote. tuna haki ya kufanya hivyo kama vile wewe ulivyokuwa na haki ya kusimamia unachaoamini. Lugha za kibabe hapa si mahali pake!
 
Mkuu Usiyejua Yote,

Hii ishu ninarudia tena ni ya Wahindi period, kama kuna mwenye tatizo na Waafrika aanzishe topic yake kwingine, hapa tunajadili Wahindi, kichwa cha hii topic kilisema Wahindi ila kuna wanaojaribu kuwa politically corect wakakibaidli,

lakini hakijabadilika kitu, the ishu ni Wahindi!
 
Back
Top Bottom