Unalijua vizuri jina lako lingine so good luck na hii mission ambayo ilishindwa in the first place!
nakuomba tafadhali usinipachike majina ambayo siyajuwi, nakueleza tena sijawahi kuwa goodluck wala badluck, tafadhali usikasirishwe na niliyokuambia ukaleta dhana ya kuwa labda huyo goodluck alikwisha kukuambia kama haya nikuambiayo, naomba rejea kwenye posts zangu halafu rejea na za huyo goodluck, labda utapata uhakika wa kuwa mimi siyo unaedhania. Futa kauli zako za ubaguzi hazijengi bali zinazidi kubomowa.
Kwa kweli sasa imepita kipimo cha kawaida.
Karibu kila kashfa kubwa ya upotevu wa pesa au ubadhirifu inayotokea nchini kuna jina la mfanyabiashara maarufu wa kiasia linajitokeza. Kwa mifano michache tu ya rada, ndege mbovu, magari ya wanajeshi, vifaa vya jeshi, richmonduli, wizi BoT, na mengine mengi tu...... hawa wenzetu wameonesha kuwa hawana nia njema kabisa na nchi yetu.
Nitaonekana mbaguzi kama nikiwasakama waasia pekee hapa ila pia naona inabidi pia iwekwe wazi kuwa wakati tukila sahani moja na kina Mramba, Lowasa, Mgonja na wenzake (wazawa) inabidi pia tule sahani moja na surrogate zao (Manji, Patel, Azizi, Vit-rada) na wengine ambao wanahusika na upotevu wa mabilioni ya pesa.
Kwa wakazi wa Dar es salaam inafahamika namna makampuni ya ujenzi wa barabara ya wafanyabiashara wa kiasia ambavyo wamekuwa wakifanya kazi mbovu ya kurekebisha barabara mwaka hadi mwaka na kupelekea barabara hizo kuharibika zaidi na kuleta usumbufu mkubwa kabisa (naongelea kina Karafi na wenzake).
N'uff now, naungana na Iddi Simba katika hili. Ifikie wakati sasa maslahi ya nchi na wananchi wengi yawe mbele ya kuwa politicaly correct. Nchi zinazotamba kwa demokrasia zinaendesha criminal profiling na kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kukamata wezi na wahalifu kwa gharama kidogo, kwa nini watanzania wenye uchungu na nchi yetu tusianze kuwaangalia hawa waasia kwa macho makali ya chuki kwa vitendo vyao vya wizi na ubadhirifu wa uchumi wa nchi yetu?
Najua hii inaweza kuwa sio sahihi kisiasa ila naona pia kuwa siasa ndio inaamua mambo mengi ya nchi yetu na hili la waasia kuwa na sauti kubwa sana kwenye siasa ya nchi yetu ni tatizo kubwa na inabidi liangaliwe sana kwa sasa!
Katika hili nitakubali kuitwa mbaguzi lakini niokoe maisha ya watoto wachanga wanaokufa bila dawa hospitalini huku Patel na wenzake wakichota mabilioni ya pesa za watanzania!
ha ha ha ha ....
Wewe na huyu goodluck mna kazi kubwa sana maana hii JF ipo hapa kama vile ulivyoiacha last time!....... next time tumia gudlaki labda utafanikiwa!
usijidai kucheka nakuomba tafadhali sana, sina haja ya kubishana nawe, mimi syo huyo goodluck usemae wewe, jamanima mods kama mnanjia za kufahamu katika kuregister hebu mfahamisheni huyu mwafrika wa kike aidha anachanganyikiwa ua hajuwi akisemacho. Tafadhali usinibandike majina ambayo siyo yangu, hayo ni matusi na mimi sipendi kutukanwa kwa kupachikwa majina ya kiajabu.
Nakubaliana na maneno yako 100% siongezi ila tukaze mwendo kwa kuwabana akina Chenge na Diallo na Mramba then wahindi wataelewa kwamba kibao nimebadilika .
usijidai kucheka nakuomba tafadhali sana, sina haja ya kubishana nawe, mimi siyo huyo goodluck usemae wewe, jamani ma-mods kama mna-njia za kufahamu katika kuregister hebu mfahamisheni huyu mwafrika wa kike aidha anachanganyikiwa ua hajuwi akisemacho. Tafadhali usinibandike majina ambayo siyo yangu, hayo ni matusi na mimi sipendi kutukanwa kwa kupachikwa majina ya kiajabu.
Usiache mada ikatoka kwenye ubaguzi ulioweka humu ukazusha mengine.
Wacha kutafuta ugomvi Mwamba Zomba weka issue mezani , kila mara wewe na kukwaruzana na watu hapa ? kata issue twende mbele kaka treni lina kasi kali usije achwa .
Lunyungu,
Unadhani atasikia hilo? Mission zake nyingi hapa JF zinafeli kwa kasi kubwa na hii ni matter of time tu utamuona kaishia mtini kama kawaida yake!
In the end, kama umefuatilia kesi ya Enron kwa makini, utajua kabisa kuwa investigators waliprofile watu na wakadeal na watu wachache kabisa na kuacha wengine wengi (hasa wanawake) katika uchunguzi wao!... huu ni mfano mmoja tu na defense ilijaribu kutumia hii kama defense yao ikashindwa vibaya sana kwa vile criminal profiling ilikubaliwa na judge kuwa ni sehemu muhimu sana ya uchunguzi na uendesha mashtaka.
Wacha kutafuta ugomvi Mwamba Zomba weka issue mezani , kila mara wewe na kukwaruzana na watu hapa ? kata issue twende mbele kaka treni lina kasi kali usije achwa .
Nadhani kuna mambo unayazungumza kijuujuu tu to make a point. Na nilifuatilia Enron na matatizo yake na nilichokwambia ni kuwa criminal profiling sio silver bullet.
Lunyungu,
Unadhani atasikia hilo? Mission zake nyingi hapa JF zinafeli kwa kasi kubwa na hii ni matter of time tu utamuona kaishia mtini kama kawaida yake!
nakusikia sana ni wewe ambae unaanzisha hoja za kibaguzi halafu unaanza kupachika watu majina, huu ni upuuzi usio mfano. Jibu hoja na tusiitane majina ambayo si yetu.
muhesimiwa lunyungu sipendi kabisa character yangu kuwa assassinated, ni yupi nilie kwaruzana nae, halafu kwa nini huyu mwanamke anipachike jina sio langu, ana nini huyu? tuongelee mada tafadhali na namuomba sana asinite goodluck, mimi si goodluck sijawahi kuwa goodluck. Mimi toka nimejiunga na JF ni Zomba and thats it.
No this person aelewe kwamba we are very much interested na kukata issue .Kama ana ubishi basi afungue mada zake za ubishi aone wangapi watachangia .Kulialia kila mara plus name calling helps nothing jamani .
.....
Jiulize swali rahisi tu hao "waasia mafisadi" mbona hawakutamba wakati wa Mwalimu?
....
Kweli kabisa,
Hii sio silver bullet ila pia ni part ya uendesha mashtaka na uchunguzi. Kwa vile bado haijaachwa na so far imekuwa ikisaidia katika kesi nyingi, kwa mtizamo wangu ni vizuri ikatumika pia katika issuez zinazoendelea bongo ili kupunguza watu wenye pass zaidi ya moja kupata muda wa kukimbia nchi (so far waliofanya hivi ni overwhelmingly waasia).