Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hujui ROLLS ROYCE ni nini hata sifa zake huwezi kuzielewa.Mbona lakawaida Sana mkuu, naombeni sifa zake please!
Je likija kwa ndege ya mizigo au likapitia Namanga mkuu itakuwaje!Wataalam wa TRA tupigieni hesabu za kodi yetu hapo Bandarini
Kila mtu na vipaumbele vyakeBig mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Hizo zitakuwa siri za chumbani na mkewe sema mke mwenyewe hana kifua kazivujisha hapa...Mbona nimeangalia kwenye acc yake insta sijaona hizo posts
Amen Ra ISISAMEN RA
Chuki kwa mtu alie kuzidi uwezo ni kujitafutia vidonda vya tumbo tu.Kiki Za Kingese Sana hizi.
Kamshauri kiba kwanzaKweli we differ in priorities. Muziki una mwisho wake na umri unaenda. Angekuwa na plan ya kuwa na viwanda hata vitatu au vi5, na kwa kutumia brand ya jina lake, angepiga hela mpk anakufa. Akicheza anaweza akafulia kimuziki, japo simuombei hilo, na atlast ikabaki story.
Ayo matusi broHizo zitakuwa siri za chumbani na mkewe sema mke mwenyewe hana kifua kazivujisha hapa...
Ndio tatizo la kuwa na wake wengi na mbaya zaidi wanakiwa vilaza zaidi ya zari....
Unadhani zari angevujisha siri hii.... Tungemuona nalo kitaa ndio tungejua lake kama walivyoingia kwenye nyumba yao ya south.
Hawa dada zetu wa kiswahili ndio matatizo yao mboyoyo mingiii.
vipi mkuu mbona povu lina kutoka iv umetumia sabuni ya Tossi nini??????Kiki Za Kingese Sana hizi.
Haya bana [emoji38]Siamini mpaka sasa sijaona comment ya The bold hapa.
Nina mashaka na hii habari!
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde... Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja.. View attachment 441705View attachment 441706View attachment 441707View attachment 441708View attachment 441709
Ukiwa Maskin ndo Utakuwa Na hayo Mawazoo !!Utajiri wa mapepo tu huu,nani ana utaka.Akumbuke kwamba Shetani hana cha bure.Ni vema akajifunza kutoka kwa akina Michael Jackson,John Lennon,Kanumba nk.Tamaa ni mbaya sana.